Hakuna lolote wanawake wanavyo penda pesa na make up, sidhani kama wangeomba wazaliwe wanaume hata siku moja.Upo sawa lkn wanawake weng nanapenda.wangezaliwa.wanaume hasa kwa.afrika nadhan hii inatokana na mfumo.dume na mambo mengne istoshe kuwa mwanaume ni heshima ndo maana hata watu weng wanapenda sana watoto wa kiume nadhan unalitambua hilo
Mmh!: weka picha
Hakuna lolote wanawake wanavyo penda pesa na make up, sidhani kama wangeomba wazaliwe wanaume hata siku moja.
Kumbe kungekuwa na nafas ya mwisho ya kuchagua unataka uwe vipi wengne wangetaka kuwa wanaume!! Labda,ila mie najivunia kuwa mwanamke
Wakuu nimefanya resarch yang binafsi ila nashindwa kuwaelewa wanawake yaan kila mwana mke ukimuuliza kama ungekuwa mwanaume ungefanya nini jibu la kwanza utasikia ningewagegeda wanawake mpaka wange koma sasa nacho jiuliza mbona cc tukiwagagada wanalala mika wakat kumbe wangekuwa na wao pia ni wanawake they would do the samething...
Regard
God with us
Mi ningekuwa mdada ningewatosa boys mpaka wakome. Hapo vipi?
Inategemea kama sasa hiv una wagegeda sanaa ujue ungekuta na ww una gegedwa sanaa