Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
Makolokolo ya nyumbani yote yataendana na hyo biashara.Nimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla..
Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
View attachment 1939074
Kama yapi? MkuuMakolokolo ya nyumbani yote yataendana na hyo biashara.
Big point hapo kwenye gas,Mimi naona biashara ya mayai ukiongeza na uuzaji wa gesi itakuwa zinaendana mkuu!
Ningesema pia uweke na kizimba cha kuuzia kuku hapo nje lakini hapana.
Wauza chips wapoWeka muuza chips hapo mkuu.
uuzaji wa kuku una changamoto zake mkuu, hasa kama soko lako si uhakika, wataakaa sana kwenye kizimba na itapelekea wapungue mno uzito, ila kama uhakika wa soko upo weka.Big point hapo kwenye gas,
Kwanini hapana, kuweka kuku?
Labda nifanye hivi...mzigo unafikia home, nakuwa nachukua wachache naweka kwenye kizimbauuzaji wa kuku una changamoto zake mkuu, hasa kama soko lako si uhakika, wataakaa sana kwenye kizimba na itapelekea wapungue mno uzito, ila kama uhakika wa soko upo weka.
Na hapa nilipo, movement ya watu ni kubwa sanaaLabda nifanye hivi...mzigo unafikia home, nakuwa nachukua wachache naweka kwenye kizimba
Nimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla..
Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
View attachment 1939074
Uko wapi uungwe mkonoNimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla..
Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
View attachment 1939074
Capital umeanza na ngapiNimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla..
Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
View attachment 1939074
WAUZA GESI BANA UKIFUATILIA FAIDA WANAYOPATA UNAWEZA KULIAMimi naona biashara ya mayai ukiongeza na uuzaji wa gesi itakuwa zinaendana mkuu!
Ningesema pia uweke na kizimba cha kuuzia kuku hapo nje lakini hapana.
WAUZA GESI BANA UKIFUATILIA FAIDA WANAYOPATA UNAWEZA KULIA