kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 305
Nenda technical college ili utoke haraka kimaisha dogo
Hatimaye matokeo yametoka naombeni ushauri wakuu
Math-c
Phyz-f
Chemistry-d
Geography-c
Biology-c
Kiswahili-c
History-d
Civcs-d
English-b
Naombeni ushaur wenu nime balance au
Kwanza alistahili BAN@pawWakuu kwann mtu usiwe wazi tu kama unamuombea ushaur ndugu yako kuliko kujifanya ni wew , kila mwaka ,
Mara fform 6, mara 4m,,,
Mara chuo,,
Mnapelekea hadi wenye nia ya kushauriwa kwel kupuuzwa kwa sababu yenu
Alah! kumbe! Atakuwa amerisiti huyu.![]()
Unamshauri mtu aliye form six
Karisiti wapi? Yeye.Alah! kumbe! Atakuwa amerisiti huyu.
Kumbe kuna watu huwa mkiona uzi mnakimbilia kuchangia tu bila kuona uchangiaji wa wengine. Soma mwanzo wa threadKwa matokeo yako kupata shule ya government itakuwa ngumu mwombe mungu
Penati za masomo kwa form four waliohitimuHatimaye matokeo yametoka naombeni ushauri wakuu
Math-c
Phyz-f
Chemistry-d
Geography-c
Biology-c
Kiswahili-c
History-d
Civcs-d
English-b
Naombeni ushaur wenu nime balance au
Kufanya kazi na watoto mtihani... Ivi anahisi akisema yy yupo form tutamuona hajasomaWewe ulishawahi kusema upo form six Leo umefikaje tena form four???
![]()
Kazi kweli kweli.Hapo kama utachaguliwa comb we cbg labda kama unaenda private ningekushauri uende EGM. But inategemea wewe mwenyewe unapendelea kusomea nn na baadaye uwe nani? Thus all
Hahaha! Kweli mkuu wewe unamfahamu vizuri huyu jamaaKarisiti wapi? Yeye.
soma vizuri hapo![]()
Mkuu nisameeni tu naombeni ushauri wenu kwa hili jamani umuchiddy boy umekimbia uzi wako?? Acha story za uongo. Mara nipo form six mara nipo four. Tuchukue lipi sasa??
Paw