Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niende

chiddy boy

Member
Jan 2, 2017
86
25
Hatimaye matokeo yametoka naombeni ushauri wakuu
Math-c
Phyz-f
Chemistry-d
Geography-c
Biology-c
Kiswahili-c
History-d
Civcs-d
English-b
Naombeni ushaur wenu nime balance au

Hatimaye matokeo yametoka naombeni ushauri wakuu
Math-c
Phyz-f
Chemistry-d
Geography-c
Biology-c
Kiswahili-c
History-d
Civcs-d
English-b
Naombeni ushaur wenu nime balance au
Wewe ulishawahi kusema upo form six Leo umefikaje tena form four???
ea0bbac3b1fba0d31aac0bc1c7f323de.jpg

Nenda CBG haraka sana kuanzia Sasa jitahidi uanze tuition ya Kemia na ujifunze kukariri angalau mistari ya biblia angalau kule kwenye Organic chemistry pasije Kuwa mama mkwe...

Nenda Cbg kijana,hiyo C ya math sikushauri uende nayo Egm
Kwahiyo D ya chemistry ni bora zaidi

Nenda CBG haraka sana kuanzia Sasa jitahidi uanze tuition ya Kemia na ujifunze kukariri angalau mistari ya biblia angalau kule kwenye Organic chemistry pasije Kuwa mama mkwe...
884e46fc071de2e154f97be0e0319e38.jpg

Unataka aende cbg kufanya nini?

Kasome hkl au hgl, hizo sayansi acha f ya fizikia , hio c ya hisabati nadhani ilikua pata potea, kemia d inaweza kua ya ngama kifupi kasome sanaa.

Kasome hkl au hgl, hizo sayansi acha f ya fizikia , hio c ya hisabati nadhani ilikua pata potea, kemia d inaweza kua ya ngama kifupi kasome sanaa.
[quote uid=74181 name="Posho City" post=19168433]Chiddy boy pole sana maana naona unalishwa matango pori tupu hapo juu....Wakati mwingine kabla hujasikiliza ushauri angalia hata aina ya uandishi wa mtu anayetoa ushauri au taarifa...

Mfano huyo Hassan Enzi...anajifanya kama vile ni msemaji wa necta kitengo cha penalties lakini anaandika X badala ya S....ukishaona hayo achana na huo uhuni...
Wengine wanakwambia penalties zipo kwa English na History...

Mimi ninavyojua QT inawahusu watu hasa ambao hawajawahi kugusa elimu ya sekondari au walifeli kidato cha pili na sasa wanaihitaji kwa muda mfupi...badala ya miaka 4 unatumia miaka 2...
PC ni mtu alowahi fanya mtihani ila credits hazikutosha...
Sidhani kama wewe umehitimu fomu four kisa credits hukupata uende kusoma QT[/QUOTE]
Me nipo form six nauliza hivyo kwasababu na dogo langu kamaliza form four mwaka Jana sasa ajui kama kunapenati

Back
Top Bottom