ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,622
- 791
Mi ni mtumiaji mzuri wa IDM ha ajabu leo wakati nataka kudownload, ikawa inanambia you cant download because IDM has being registered with fake serial number. Sasa wakuu mi nkawa nashangaa imekuwajekuwaje?? hii serial no. tena please naomba msaada wenu maana nmesha-Unstall na nme-Install tene na tena hii IDM ila wap ado inadai fake serial no. wakati mi sikuwahi kutumia serial namber na wala ciijui
Msaada please....
Msaada please....