Wakuu codes mpya za StarTimes kupata free channels

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
5,805
Reaction score
12,606
Vyuma vimekaza wakuu mwenye maujanja codes za kupata free channels
 
Hata local channel nitashukuru
 
Hakuna cha buree!sahau kuhusu ilo mkuu.
 
Nasema hivyo kwa sababu nyuma nilikuwa napata vitu free kabisa sasa siku moja nikaona thread moja humu ikielezea kuhusu codes zinazoongeza channels na kuangalia free, aisee nikajitia kiherehere nilivyozaja nikakatiwa zooote ..nilihangaika wee nika nikawa nachange freq wapi! Ila baadae ikakubali lakini zikaonesha chache. Baada ya siku kadhaa zikakata tena ikabidi nilipie tu Hamna namna, sasa hapa kifurushi kimeisha na nikiwaza nyuma nilikuwa nakula vitu bure nafikiria nikifanya maujanja either unaweza rudishiwa kama zamani Ila imani sina kabisa kama itawezekana maana card washaijua tayari... Hapa nimescan zinaonesha channel 3 tu zile mpya, kungfu plus, novela plus na movie plus
 
Nimetega tu hapa aropoke mtu

Die in truth!! [emoji124][emoji124]
 
Mbona mimi naangalia local channel bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…