Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Mkuu Jose, wamechukua nafasi yako huku...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wanakuja mkuu ,ila weka picha kwanza ili wajionee.
Salaam wana Javi hilo eneo nyumba zake zimeisha weka x zinasubiri kubomolewa kupisha upanuzi wa uwanja plz aliyeleta tanzazo sijui ana nia gani
huyu jamaa ameshindikana jose hafui dafu tenaWanakuja mkuu ,ila weka picha kwanza ili wajionee.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??Wanakuja mkuu ,ila weka picha kwanza ili wajionee.
Wizi mtupu wa avatarMkuu Jose, wamechukua nafasi yako huku...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hunter ignore tu mkuu tuendelee na maisha ya jf ni kuwazoea tu.Wizi mtupu wa avatar
Sent from my iDevice using Tapatalk