Wakuu banda linauzwa

Wakuu banda linauzwa

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,327
Lipo maeneo ya Ukonga kipunguni moshi bar. Ni hivi ilikuwa ni nyumba kubwa lkn mwenyewe watu aliowaachia wantuzie hiyo nyumba upande mmoja wa nyumba walikuwa wamechimba mchanga nyumba ikabomoka upande mmoja. Upande mmoja uko fresh aujabomoka. Umeme aina Ipo mtaani gari linafika na sehemu ya parking ya gari ipo bei million kumi mawasiliano nione pm ukihitaji barabara lami ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wana Javi hilo eneo nyumba zake zimeisha weka x zinasubiri kubomolewa kupisha upanuzi wa uwanja plz aliyeleta tanzazo sijui ana nia gani
 
Salaam wana Javi hilo eneo nyumba zake zimeisha weka x zinasubiri kubomolewa kupisha upanuzi wa uwanja plz aliyeleta tanzazo sijui ana nia gani

Duuhh

Kwa hiyo anataka kutapeli
 
Kuanzia mpaka wa Idara ya hali ya hewa kwenda reli ya Tazara hadi Magereza hilo ni eneo la Uwanja wa ndege na nyumba zote za hayo maeneo zilipigwa X mwaka 1997 na kuna baadhi viwanja walipewa maeneo ya Pugu kinachosubiriwa ni baadhi wamaliziwe kupewa viwanja na fidia kidogo then bomobomoa ianze
 
Wanakuja mkuu ,ila weka picha kwanza ili wajionee.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??

Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...

kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..

Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..

ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom