Wakushi pia tumo bana

Wakushi pia tumo bana

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,255
aa.jpg MI nawaangaliaga tu ati maraster hatuna ma lady dread wa ukweli beauty.jpg aaaah wacha bana stock-photo-portrait-of-a-woman-smiling-128470988.jpg zote zangu bana.....afu nichek ninae miliki,sijui raster.jpg wanazimika na mimi sijui ni raster au mi ni handsome
 
Jamaa kwenye picha ya chini kulia nimemwona kwenye documentary nyingi zinazohusu utalii Carribean islands,anafanyakazi kwenye Museum of Bob Marley,Jamaica.Ni kama ni mlinzi au guide. Anavuta sana banghi,halafu funny sana,nakumbuka jinsi anavyocheka,lazima na wewe ucheke.Huyu jamaa anafuyahisha sana.
 
ujakosea kakaa
 
I smell a Spliff burning over here! I am out..
 
Back
Top Bottom