Wakurya na kiswahili

Hawa jamaa mimi wananiachaga hoi kwa hasira zao za kijinga, wewe umeona wapi mtu eti anaongea anakigombeza Kiswahili huku akitokwa na mimate au mapovu?
 
Wazee wa kugombeza, mtu anakutongoza anakugombeza, utafikiri anataka kukuua kumbe anakutongoza hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…