Wakulima wote tafadhali soma hapa

Wakulima wote tafadhali soma hapa

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
9k=
P. O. Box 1880, Morogoro
Tel: +255 758 303 090,+255 684 210 277
Email: swahiliwaterworks@gmail.com Website:www.swahiliwaterworks.wix.com
TIN: 121-299-046
MATUMIZIYA SUPER GRO MASHAMBANI
Supergroni kirutubisho bora zaidi kwa ajili ya kurutubisha samaki na kukukinachotengenezwa na bodi ya wanasayansi wa dunia (SAB) chini ya shirika laAfya Duniani (WHO) wakishirikiana na Idara ya Kilimo Marekani(USDA)-UnitedStates Department of Agriculture.
9k=
Super gro


KAZIYAKE

  • Inazuia mimea kushambuliwa na wadudu (magonjwa ya mimea).
  • Hurutubisha mimea.
  • Hutunza unyevunyevu kwa mimea muda wote.
  • Huzuia fangasi kwenye mimea.
  • Husaidia mimea kukua kwenye saizi moja.
  • Hutumika kama mbolea au samadi mashambani.
  • Inasaidia mimea kukua kwa haraka zaidi ya kawaida.
MATUMIZIYAKE
Udongo mwekundu -1ml super gro=lita 1 ya maji.
Udongo wa mfinyanzi na udongo mwingine 3ml super gro=lita 1 ya maji.
Nywesha baada ya kuchipua au wakati wowote wa uhai wammea kama umechelewa sana.Nywesha wakati mbegu ziko kwenye vitalu au siku tatu(3) baada ya kupandikiza endelea kunywesha baada ya siku kumi na nne (14)wakati wa masika, kama jua kali sana nywesha baada ya siku saba (7).Wakati wakiangazi nywesha kila baada ya siku kumi (10).
MAHINDIAU MPUNGA
Changanya 10ml ya super gro na maji kidogo kwenyembegu za mahindi au mpunga kiasi cha kilo kwa heka moja ya ardhi.Mchanganyowako usichuruzike halafu panda,zikiota na kuwa mimea kufikia majani 6 au 7pulizia na pampu(solo la dawa) mchanganyo wa super gro na maji.
BUSTANI
Unaweka 20ml super gro kwa maji lita 20 na usimwagiekama maji bali nyunyuzia kama dawa ili uingie moja kwa moja kwenye majani hadimizizi.
VITUNGUU
Usiweke zaidi kwani vitunguuvitaharibu shepu yake nakuwa vikubwa sana.Vitunguu huwekwa Super gro wakati umeshapandikiza.
MAEMBE,MICHUNGWA
Unaweka 20ml ya Super Gro kwenye lita 20 za maji kwamiembe 3 na upulizie kutumia pump (solo la dawa) majani na maua yasipukutike napia huzuia wadudu kushambulia mimea.
SUPERGRO HUFANYA YAFUATAYO

  • Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa.
  • Huongeza maua na uzalishajina huzuia kupukutika maua.
  • Huongeza ukubwa wa matunda.
  • Huongeza uzito wa makabichi,viazi,mahindi,ngano.kunde na mazao mengi mengineyo.
  • Hunyonywa haraka sana na mmea,haigongani na vitu vingine vya kusaidia mmea na hili limefanyiwa majaribio.
  • Hutumika kwenye hali ya hewa yoyote.Super gro hupenya haraka mpaka kwenye mizizi na husaidia dawa nyingine kama za kuua magugu kufanya kazi yake vizuri na kuua magugu haraka zaidi.
  • Huzidisha ongezeko la mazao na mbolea hupenyeza mpaka kwenye mizizi.

Ukishatumia super gro hulainisha ardhi,maji na mbojina kuwezesha maji kufika chini sana na kufuata mizizi,mbolea huenda naunyevunyevu wa maji.Wakati wa joto kali majia hayapungui ardhini haraka na mvuahunyonywa na mizizi vikifanya mimea kuwa na afya wakati wa jua kali na wakatiwa baridi pia.

  • Lita moja (1) hutumika kwa heka tatu( 3) na lita tano(5) kwa heka kumi na tano (15)
 
Hapana huwa inasambazwa na GNLD ambao wana distributors ambapo mmoja wao ni mimi,kwa hiyo ukiitaji wasiliana na mimi mdau
 
Wana JF wote pata super gro Hapa tupigie Leo
 
Hapo juu umesema hutumika kurutubisha samaki na kuku?..je unaweza fafanua
 
Mkuu click search kwa hapa JF andiko la super gro kwa kuku na samaki utaona Uzi wangu nimeeleza kila kitu Kinaga ubaga,
Asante
 
Mi mkuu bado sijakupata,hivi hii kitu ni mbolea au unahitaji kuitumia sambamba na mbolea? naomba na bei yake kwa lita tafadhali..
 
Natumia simu mkuu that's why
 
Mi mkuu bado sijakupata,hivi hii kitu ni mbolea au unahitaji kuitumia sambamba na mbolea? naomba na bei yake kwa lita tafadhali..

Mkuu hii ni wonder drop ambayo inarutubisha mimea na ni booster mkuu,soma maelezo kwa kina hapo juu kwa Uzi wangu,maswali zaidi waweza niPM tukaongea kwa simu
 
Wale wateja walionunua super gro Walete mrejesho Hapa na wengine wafaidike
Cc Safari etal
 
Tunaomba mrejesho wa matumizi ya super grow
binafsi nimetumia hii mbolea, kiukweli ipo vizuri sana. niliitumia kwenye mahindi inasaidia sana kwenye ubebagi, mahindi yalikuwa makubwa, pia inasaidia hata mimea iliyokuwa dhaifu au duni kubeba mahindi makubwa. kiukweli imekuwa mkombozi kwangu.
 
Back
Top Bottom