Ni hivi na bado, Magufuli kasemwa sana kwamba aliharibu biashara ya korosho, ngoja tuone nani zaidiMshtuko umewakuta wakulima baada ya Kuletewa bei ya Tsh 1680 kabla ya makato ambapo baada ya makato huenda mkulima ikamfikia 1380, Zoezi hilo la mauzo ya Korosho liliendeshwa wilayani Tandahimba katika kijiji cha Mitondi.
Wakulima wamegomea bei hiyo hivyo korosho hazijauzwa leo.
Mwaka 2017 bei ya korosho ilifika 3,500ulishawahi uza hiyo bei au ndo walewale wa ndiooooooooooo hata kama hujasikia kilichosemwa
Kumbukumbu zako hazikuoneshi kwamba Magufuli alikataa bei ya shilinngi 2,800 akasema Serikali litanunua kwa bei ya shilingi 3,000 na kwamba soko litakuwa hapa nchini kwa kila mtanzania kununua kilo mbili za korosho?Soko la dunia, demand ikiwa kubwa bei inakuwa kubwa
Magufuli had nothing to do with it
Mfanyabiashara nae hawezi kuamua bei, soko ndio linaloamua, kukiwa na uhitaji mkubwa wa bidhaa na hiyo bidhaa ikawa haipatikani kwa wingi basi bei yake itakuwa kubwaUtasikia mtu flani anasema "mwacheni mkulima auze mazao yake kwa bei anayotaka'! Kwa uhalisia mkulima hana maamuzi na bei zote za mazao yawe ya chakula au biashara, mara zote wanaoamua bei huwa ni wafanya biashara
Tumsifu tu kwa kuweka mchakato wazi. Ni kweli bei hakuleta yeye lakini kuna ujinga aliuondoa.Soko la dunia, demand ikiwa kubwa bei inakuwa kubwa
Magufuli had nothing to do with it
Sijui haya maelezo yako unayatoa kama sarcasm au unamaanisha kweliKumbukumbu zako hazikuoneshi kwamba Magufuli alikataa bei ya shilinngi 2,800 akasema Serikali litanunua kwa bei ya shilingi 3,000 na kwamba soko litakuwa hapa nchini kwa kila mtanzania kununua kilo mbili za korosho?
Mbona tunakuwa wasahaulifu kirahisi hivi? Unasemaje Magufuli hausiki wakati alimpiga kejeli mpaka aliyekuwa Waziri Mkuu wake kuwa kama Kusini wangeandamana angepiga shangazi zao!!?
Wale wanajeshi waliokwenda kusomba zile Korosho umeshasahau ni nani aliyewaamrisha waende kuzisomba??
Unafikiri huyo soko ni nani? Kwani hujawahi kusikia wafanyabiashara wanaficha bidhaa au wanapunguza uzalishaji ili bei zipande? Hiyo economics uliyandika wenzako tumeisoma kama topic kwenye somo la siasa.Mfanyabiashara nae hawezi kuamua bei , soko ndio linaloamua, kukiwa na uhitaji mkubwa wa bidhaa na hiyo bidhaa ikawa haipatikani kwa wingi basi bei yake itakuwa kubwa
Vivyo hivyo, bidhaa ikiwa haihitajiki sana na upatikanaji wake sio mgumu basi itauzwa bei ya kutupwa
Hii sio economics hii ni common sense
Serikali makini iko radhi kuhamisha hasara kutoka kwa raia wake flani kuipeleka serikalini. Tendo kama hilo likifanyika kwa uwazi linaitwa ruzuku, yaani serikali imebeba hasara ili wananchi wapate unafuuMwisho wa siku jeshi halikuweza kubangua zile korosho kwa mabomu na zilikosa wanunuzi na tetesi ni kuwa zilitupwa baharini
Wafanyabishara ndio wanaolima? Wakulima si ndio wazalishaji?Unafikiri huyo soko ni nani? Kwani hujawahi kusikia wafanyabiashara wanaficha bidhaa au wanapunguza uzalishaji ili bei zipande? Hiyo economics uliyandika wenzako tumeisoma kama topic kwenye somo la siasa.
Hakuna mwananchi aliyepata faida kwenye ule uharamia, wengi hawakulipwa, na zile korosho zilizotaifishwa zilitupwa bahariniSerikali makini iko radhi kuhamisha hasara kutoka kwa raia wake flani kuipeleka serikalini. Tendo kama hilo likifanyika kwa uwazi linaitwa ruzuku, yaani serikali imebeba hasara ili wananchi wapate unafuu
Hili swali limenifanya nicheke Sana. kwa hiyo gunia linaweza kuwa sh.1600?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]Sikweli tukowote field twambie hiyo nibei ya korosho kwamana ya gunia au kilo
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hahaaaaa!! Waulize kama kuna mkulima hata mmoja alilipwa korosho yake kwa bei hiyo!! Ila jamaa alikuwa muongo sana!!Wakati wa Magufuli bei ilifikaje shilingi 3000 kwa kilo?
Huna akili dogo hivi unajua gharama za kuhudumia shamba ...!! Hiyo Bei ni ya hasara mpk kwa mkulima.Chadema watapinga.
Wazee wa kangomba imekula kwao...ila kwa mkulima sawa tu hawezi lala njaa.
#MaendeleoHayanaChama
Gharama gani kama pembejeo zilitolewa bure..mbole nako kuna ruzuku.?Huna akili dogo hivi unajua gharama za kuhudumia shamba ...!! Hiyo Bei ni ya hasara mpk kwa mkulima.
Fuatilia takwimu. Ilizidi. Kuna wakati ilifika 4200 na haikuwa kushuka chini ya 3000 hadi anakufa.Wakati wa Magufuli bei ilifikaje shilingi 3000 kwa kilo?
Mbona mkulima wa mahindi naye anauza gunia 70,000 wakati kipindi cha Magufuli aliuza hadi 10,000Fuatilia takwimu. Ilizidi. Kuna wakati ilifika 4200 na haikuwa kushuka chini ya 3000 hadi anakufa.
Hiyo bei iliyoletwa sasa ni bei za zamani kabla Magu hajawa rais. Naomba ufuatilie records.