Wakulima wa parachichi aina ya hass.

Wakulima wa parachichi aina ya hass.

Family_hammer

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
29
Reaction score
11
Habari za leo,
Natarajia kupanda hili zao, ningependa kujua changamoto zake na soko lake likoje.

Asanteni
 
hakuna gharama kvile ila kuna mdudu moja tu anaesumbua anaitw false codling moth dawa yke ni 90 elfu inayowz kutreat zaid ya 3acre bt infestation zngne za kawaida..... na uhakika wa soko uko poa sn since evry day consumed...... kwa upande wa mbeya na arusha unawez ukaproduce in contract
 
Back
Top Bottom