Wakuiokoa CCM ni Agustino Ramathani

Wakuiokoa CCM ni Agustino Ramathani

TITAN

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
308
Reaction score
47
Mimi Titan nimeangalia kwa kina jinsi CCM wanavyo zidiwa nguvu na ukawa nikaona karata yamwisho waliobakiza ni Mzee Agustino Ramathani aweze kugombea urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Zaidi ya apo CCM wataangukia pua october 2015
 
Ingizo jipya....soon mtaanza kumchafua mzee wa watu maana.........
 
Mimi naona wamuweke Fredrick Minziro agombee, vinginevo wataangukia pua.
 
Mimi Titan nimeangalia kwa kina jinsi CCM wanavyo zidiwa nguvu na ukawa nikaona karata yamwisho waliobakiza ni Mzee Agustino Ramathani aweze kugombea urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Zaidi ya apo CCM wataangukia pua october 2015

huyo sio maarufu hata kidogo kwa wananchi wa kawaida zaidi ya majaji wenzake na wasomi tu, ictoshe huyo hana mvuto wa kisiasa na hata kuongea kiaiasa hawrzi, mwacheni aendelee tu apumke
 
Mimi Titan nimeangalia kwa kina jinsi CCM wanavyo zidiwa nguvu na ukawa nikaona karata yamwisho waliobakiza ni Mzee Agustino Ramathani aweze kugombea urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Zaidi ya apo CCM wataangukia pua october 2015

kwanini augustino ramadhani??? mtu mmoja unaamini kabisa kwamba anaweza ibadali ccm?? tatizo letu kubwa ni mfumo ambalo haliwezi kutatuliwa na mtu mmoja kwani leo hata umemweke nani ndani ya ccm kama unavyoona binadamu uzeeka na kufa na chama hivyo hivyo uzeeka na itabidi kife. jk alijaribu kutaka kuleta katiba mpya umeona kilichotokea mtu mmoja tu alitishwa na akakubali waafidhiina wakateka mchakato hivi kweli unaamini kuwa lengo la jk kuanzisha mchakato wa katiba halafu amwachie chenge aandike katiba? hapo ndio ujue kuwa nguvu ya mtu mmoja haitoshi. mabadiliko yataletwa na watanzania kwa ujumla wao chadema, ccm ], cuf na wasio na vyama kwa maana ya wale wataokubali kuweka maslahi yao pembeni na kuweka maslahi ya nchi mbele
 
Rais-joseph sinde warioba.
Makamu wa kwanza-maalim seif sharif hamad.
Rais wa zanzibar-salim ahmed salim.
Waziri mkuu-wilbrod peter slaa.
Waziri wa mambo ya ndani-freeman mbowe.
Waziri wa elimu-james mbatia.
Waziri wa uchumi na fedha-ibrahim haruna lipumba.
Waziri wa katiba na sheria-hamfrey polepole.
 
Mimi Titan nimeangalia kwa kina jinsi CCM wanavyo zidiwa nguvu na ukawa nikaona karata yamwisho waliobakiza ni Mzee Agustino Ramathani aweze kugombea urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Zaidi ya apo CCM wataangukia pua october 2015

wewe nani amekumbia Ramadhani ni CCM. Au ndiyo kila kitu kukariri, sometimes kutumia akili inalipa kuliko kutumia masabuti
 
Wewe unasumbuliwa na udini,kwa vile umesikia tetesi kuwa rais aweza toka zanzibar,ukafikiria sana Zanzibar hakuna Wakristo na wewe unataka mkristo,ukaja na Ramadhani ambaye ni Mkristo.Ni udini tu unakusumbua,sisi tunahitaji mtu wa kutukwamua hapa tulipo ki uchumi awe na dini au hana hiyo haituhusu.
 
Rais-joseph sinde warioba.
Makamu wa kwanza-maalim seif sharif hamad.
Rais wa zanzibar-salim ahmed salim.
Waziri mkuu-wilbrod peter slaa.
Waziri wa mambo ya ndani-freeman mbowe.
Waziri wa elimu-james mbatia.
Waziri wa uchumi na fedha-ibrahim haruna lipumba.
Waziri wa katiba na sheria-hamfrey polepole.

waziri wa wanawake na watoto- Zitto Ruyagwa Kabwe
Waziri aMichezo Stivu Wassira
 
Mimi Titan nimeangalia kwa kina jinsi CCM wanavyo zidiwa nguvu na ukawa nikaona karata yamwisho waliobakiza ni Mzee Agustino Ramathani aweze kugombea urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Zaidi ya apo CCM wataangukia pua october 2015
ulichokisema ni kweli,hata mimi naamini hivyo,atapunguza mpasuko miongoni mwa makada,udini,ubara na uzanzibar.wakilalamika ni zamu ya visiwani jibu ndio hilo,wakilalamika kwa hoja dhaifu ya kuwa ni zamu ya wakristo yeye ni jibu maana ni ngumu kupata mgombea toka visiwani mwenye sifa kuzidi jaji Augustino.japo siamini sana kama atakubali aache kuchunga kondoo wa bwana na kujiingiza kwenye siasa.nape awashauri wenzie wamshawishi mzee huyo.
 
Sasa shuguli imeanza
 
wewe nani amekumbia Ramadhani ni CCM. Au ndiyo kila kitu kukariri, sometimes kutumia akili inalipa kuliko kutumia masabuti

Mkuu mimi ni Mtanzania kama wengine, nina aki ya kutoa maoni na mtazamowangu japokuwa unaweza kutofautiana na wewe
 
ccm itaokolewa na wanaccm na wananchi wenye nchi yao,utakapofika wakati tanzania na watanzania watasema
 
Back
Top Bottom