Bado nipo nipo
Member
- Nov 19, 2011
- 69
- 11
Nipokeeni mm mdogo wenu: kisiasa, kiuchumi, na mengineyo mengi tupeane changamoto.
Karibu sana..
najua ww tunalingana,mamba niaje? Karibu.
Karibu mdau!
karibu jamvini. nini kimekufuahisha mpaka ukaamua kujiunga JF? hebu fafanua ili tukukaribishe usije ukawa umepanga kuja kupiga kelele tu humu jamvini.
welkam again dude!!!
Karibu sana JF.
marahaba hujambo mtoto mzuri. Kule chumbani usiwe unaenda uwe unabaki hapo hapo sebuleni umeisikia mtoto mzuri np
marahabaaaaa...kimapenzi vipi?mia
Karibu sana