Mi nilienda kununua pale Godowns zilizopo nyuma ya keko furniture,Sema tulisubiri kama masaa matano ndo tukapata kitambo sana tulisoma mpaka kumaliza godoro lipo poa sana .Kama uko Dar nenda Keko viwandani usikubali kusemeshwa na mpuuzi yeyote.
Nenda kamwambie Kanjibahi shida yako atakupa godoro Original.
Ogopa wale matapeli wa Keko.
Magodoro fake yanaboa sana, nimewahi kununua moja fake. Ndjua uchungu wake.
Unaweza kupata inch 10 lakini mwenye inch 6 aka akalala vizuri kuliko wewe.
Usitishike na kampuni
Godoro hutakiwi kulalia upande mmoja ule ule kwa zaidi ya miezi 3
Unatakiwa uwe unaligeuza,mfano January mpaka march,unageuza kule miguu inapoelekea unaligeuza inakua upande huo unakua sehemu ya kuweka kichwa,godoro hua zina sticker ambazo huelekeza hivyo,sijui kwa huko kama magodoro manufacturer huweka hayo maelekezo.
Inategemeana na mahali uliko, size unayotaka pia na aina ya kitambaa utakachochagua....Sawa.. bei gani hilo 5*6*8
Inategemeana na ulipo. Lakn ushauri mzuri nenda kiwandani au kwa main supplier anaeletewa na kiwanda i.e from Arusha.Nashukuru..
5*6 inch 8. Bei gai?