Wakubwa msaada hii modem

Wakubwa msaada hii modem

MAJANGAMAJANGA

Senior Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
179
Reaction score
93
Wakubwa xamahan xana naomba mnixaidie nahitaji mxaada wenu waku un-lock modem hii ya zte specification hizi hapa HSUPA USA stick. MODEL:MF190 EAN:6934933034433 IMEI:865720012116379 Natunguliza shukran zangu wadau
 
Tumia kiswahili fasaha ndugu yangu hayo mambo ya xaxaxax waachie watoto wa primary..
 
tafuta DC ---- mimi yangu niliunlock bila hata kujitambua nilipoinstaill tu ikawa unlocked, nadhan mf 190 ndo modem mdebwedo kupita zote, ukiikosa google nipm nikupe yangu,
 
Wakubwa xamahan xana naomba mnixaidie nahitaji mxaada wenu waku un-lock modem hii ya zte specification hizi hapa HSUPA USA stick. MODEL:MF190 EAN:6934933034433 IMEI:865720012116379 Natunguliza shukran zangu wadau

chukua hapa mkuu, yenyewe inajieleza, mi ndio nilotumia hiyo na now mambo swaafi
 
Back
Top Bottom