Stori zake huwa hazikinai, zinachangamsha sana jukwaa! Mambo ya kumwekua mwekua na changamoto ya msitu wa nairoto ni stori matata sana! Huenda akashuka na kitu kutokea kule nanhupo!
Sasa naona mnalazimisha watu waje na story za kutunga, wacha wakutane na matukio then wakipata time watashare kile wameki-experience kuliko kuwa pressurise then waanze kuleta matukio ya kishigongo