MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 350
kukaa kimya kwa wakristo sio wajinga bali ni imani ya kiroho waliokuwanayo na pia wanatambua wakibishana na hawa ambao wanazaliwa wanaimizwa kusoma kuqwani bila kujua anachokisoma ni nini na pia wakristo sio wajinga kuto jibu isipokuwa wanaepusha vita kumbuka kuna ISRAEL na PALESTINA mpaka kesho ile vita haitaweza kuisha kamwe. so wakristo kukaa kimya kama selikari ilivyokaa kimya sio wajinga isipokuwa wanajalibu waangalia wajinga wanavyopiga kelele na mwelevu ila siku mwelevu akiamua kukushugulikia ujue alishajua uzaifu wako na wapi pa kukushugulikia ila wakristo hawawezi kufika huko kutokana. Tunaelimu dunia na imani elevu au kamili hatukuchapwa viboko wakati tunafundishwa namna ya kuwa na iman ya kweli sasa jalibu kufikiri kwanza ni nani mjinga kat ya hawa