Maboko haram mengi siku izi yameniteka balaa hadi nakupoteza wangu, ila nimerudi sasa, sasa hivi yakitaka kuniteke tunasainishana mkataba yawe yananipa muda wa kukukonsalti.
Hahahahaha alikua ndugu yangu wa JF na bado ni ndugu yangu wa JF ila mambo mengi tu siku hizi, unakumbuka kwenye ile picha tulipokwenda Ocean Road?? Ulikuepo? Hahahahaha JF ooghh nakupenda sana JF