Muongo huyo hana anachokijua...siyo wote waliacha kutumia wamefariki.
mange kimambi mbona mara ya mwisho kutumia account yake ya JF ni miaka kama 15 iliyopita na Chris Lukosi naye mara ya mwisho kutumia ni muda lakini wote wapo MAJUU wanapiga mishe.