Wako wapi watu hawa?


Misanya Bingi amepata Phd yake Udsm,November mwaka Jana.
 
1.Muumini yupo kitaa yupo bendi moja ya kichovu..
2.Misanya yupo UDSM...
3.Bahanuzi striker wa Kagame,bado anakalia mkeka Jangwani..
4.Mama John Terry...sifahamu alipo..

Bahanuzi bado yuko yanga? anatafuta nini? Halafu wakuu vipi mimi mbona hamniweki kwenye list zenu? bora mimi kuliko Bahanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…