Wako wapi walio sema Hezbullah kwisha?

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,597
Reaction score
13,980
Echolimai mwenyewe kimyaaaa sn sijui tuanze michango!!!!!
 
Clip ulizoweka zina lugha za Majini hivyo watu wengi hawaelewi wanaongea nini

Hivyo kuziweka hapa ni sawa tu kama unajifariji-fariji Baada ya kipogo kupigo cha Mbwa-koko.
 
Aione na hii

View: https://www.youtube.com/watch?v=cTBC0MNurkA
Clip ulizoweka zina lugha za Majini hivyo watu wengi hawaelewi wanaongea nini

Hivyo kuziweka hapa ni sawa tu kama unajifariji-fariji Baada ya kipogo kupigo cha Mbwa-koko.
Wewe wamekunyima kuingia kwenya mahandaki yao umejificha kwenye vyoo unavyosafisha kiroho kinapwita
 
Tuliambiwa haipo kabisa ilishafutika!! Sahivi tena mnasema ipo ila imehasiwa? Sasa which is which?
Hezbollah ilikuwa enzi za Gaidi Hassan Nasrallah sasa hivi mnasumbuka na Mavi ya Hezbollah tu nao watasafishwa tu maana hawana impact yoyote kwa Israel maana Bwana wake Iran sasa hivi anapigwa!!
 
Hezbollah ilikuwa enzi za Gaidi Hassan Nasrallah sasa hivi mnasumbuka na Mavi ya Hezbollah tu nao watasafishwa tu maana hawana impact yoyote kwa Israel maana Bwana wake Iran sasa hivi anapigwa!!
Mbona wamezuia ambush ya makomandoo wa Israel kutokea upande wa Syria? Au huna habari kuwa mission failed?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…