Kila siku ushoga ushoga, kwani wewe unaliwa hivyo umechoka?Watanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Kataa ushoga kwa vitendo
Emu jiulize kakufanya utumie vpn?Watanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Kataa ushoga kwa vitendo
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.Niko kituoni na washirika wenzangu
Tunataka haki na amani hapa itatamalaki tu.
Sala zetu kote haki na ikatendeke
mshindi na akatangazwe mshindi.
Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Mkuu piga supu ulipo... kwa pesa kidogo nitalipa....We ujui chochoteView attachment 1614254
Emu jiulize kakufanya utumie vpn?
Mzee Pascal Mayalla kwa dalili za awali ya yote yanayoendelea unaona kuna uwezekano wa mpinzani kushinda na kutangazwa?Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
Leo ndio Leo ni Ushindi wa KIHISTORIA KWA MAGUFULI TUU.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ndio kitu gani hiko hata sikifahamu....usikose kwenda kumpa kura za kishindo JPM.Na wewe unatumia VPN? Kumradhi kukuuliza lakini.
Amina na Mungu atatenda haki.Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.
Iziraeli atupishilie mbali.
Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.
Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.
Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.
Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?
Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.
Amani na ikawe na kila mpenda haki.
Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Anatisha kwa kuzima mitandao tu na kuiba kuraNdio kitu gani hiko hata sikifahamu....usikose kwenda kumpa kura za kishindo JPM.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Magufuli kwa Tanzania ya Maendeleo ya kweli.Anatisha kwa kuzima mitandao tu na kuiba kura
Kidole kucha ina fangasi. Nenda hospitali dada utaozaTayari nishatoka kumuumiza Lissu.
#JPM mitano yake ipo tayari.View attachment 1614264
Unadhani CCM wapo mtandaoni kwa sasa? Wapo vituoni kupiga kura. JPM. Arudi.Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.
Iziraeli atupishilie mbali.
Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.
Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.
Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.
Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?
Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.
Amani na ikawe na kila mpenda haki.
Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Pascal bwana. Ninamjua waziri ktk serikali ya Jpm Kaka yake ana kansa, mdogo wake ana stroke, mama yake ana ugonjwa wa figo, moja ya watoto wake ana autism.Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
Hizo kura wanapiga siku nzima. Sema wako jikoni kupika matokeoUnadhani CCM wapo mtandaoni kwa sasa? Wapo vituoni kupiga kura. JPM. Arudi.