kijanamdogo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 231
- 177
Kwani toilet paper hutumiwa mara ngapi?MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
×1Kwani toilet paper hutumiwa mara ngapi?
MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Asanteee[emoji8] [emoji8]Kwani toilet paper hutumiwa mara ngapi?
wako kwenye payroll ya CCM hadi 2020MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Kura zilishaandaliwa kwenye mabox ya yakupigia kura hakukuwa na haja ya akina Kafulila.Kwani toilet paper hutumiwa mara ngapi?
Wameshatumika kama toileti pepa kwisha habari yao.MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.