Wako wapi hawa watu?

Wako wapi hawa watu?

Wapi MR. EMMY, aliyepandkzwa hum jamvin na magamba special kwa ajil ya uchaguz wa arumeru, hatutakusikia tena mr?
 
Uko wapi Rejao, Ritz na Hamisi Kigwangala

Namtafuta Rejao, Ritz na Hamisi,
Wayalete matokeo, maana nimeyamis,
Wanipe ufafanuo, vibaya wasijihisi,
Hongereni Arumeru, Kuwafunza CCM.
 
Ah, nimewamiss FF na Mama Porojo.
 
Back
Top Bottom