Wote wapo.
1.Rap P mmewe alidakwa na ngada USA.
2.Paulin zongo yupo TOT band.
3.Hawa yupo na Band ya Family Zorro.
4.Esther wassira kila siku namuona Facebook akichangia mijadala.
Wote wapo.
1.Rap P mmewe alidakwa na ngada USA.
2.Paulin zongo yupo TOT band.
3.Hawa yupo na Band ya Family Zorro.
4.Esther wassira kila siku namuona Facebook akichangia mijadala.
Sista P yupo huko mnakokuita mjini Daslamu. Jana jamaa yangu kamkuta maeneo na kuomba kupiga nae picha na kuirusha katika group la whatsapp lakini sintoweza kuiweka hapa.
sister P mtoto wa Remmy Dah unanikumbusha mbali wewe. Kuna huu wimbo alirap alimshirikisha msela flani hivi 'achana nao' nadhan alikuwa an anamchana zay B. Naye Zay B akamjibu na Sir Nature 'zay b sasa yuko gado.
Huu wimbo wa Sista P 'achana nao' nimeutafuta sana youtube bila mafanikio.
Wote wapo.
1.Rap P mmewe alidakwa na ngada USA.
2.Paulin zongo yupo TOT band.
3.Hawa yupo na Band ya Family Zorro.
4.Esther wassira kila siku namuona Facebook akichangia mijadala.
Ester Wassira alikacha kusoma Kilakala baada ya ku hit na wimbo wake huo... Nilikuwa namgojea kwa hamu aje Kilakala nianze kumlia mingo ila ndio aka kacha...