Wakiwezeshwa Wanaweza!

Ukute hapo kaendesha kama kilometa kama kumi hv
 
mbona km sumbawanga hapo, mtani katavi upo? Maana sute ikiiva, nje ya nyumba panawekwa pipa kuashiria sute is available here
 
huyo ndio wanawake wa kiAfrika, wa mwisho kulala, wa kwanza kuamka, kazi zote zinamuangalia yeye na bado kipigo kinamsubiri kutoka kwa mtu anayeamkia kilabuni na kulalia kilabuni. mungu amsaidie mwanamke wa AFRIKA
 
Amen...
 
Da mafull controll.....bi mkubwa anahangaika ili watoto wapate mkate,mdingi full majanga... yupo katika mchupa.
 
Kwa sura anafanana na bi kiroboto. Nadhani hilo pipa ni la kwnda kutengenezea mtambu wa kuchemshia machozi ya simba
 
Noma sana akitoka hapo ana malengelenge kwenye.................
 
mbona km sumbawanga hapo, mtani katavi upo? Maana sute ikiiva, nje ya nyumba panawekwa pipa kuashiria sute is available here
Hii kweli Sumbawanga kabisa anaenda kutengeneza komoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…