Wakiwa wakubwa si itakuwa balaa!!@

Wakiwa wakubwa si itakuwa balaa!!@

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,925
mwee.jpgbalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........
 
hiki nini jamani au nimepotea njia?

mkuu hujakosea, nimeshaedit hyo post, nisamehe siunajua wengine tumejua computer wakati tumesha balehe so mambo haya ya ku'attach ni magumu sana kwetu
 
Mfanyabiashara anakula faida.unaweza kuta alimwambia amfundishe ulemchezo anaochezaga na mama yake usiku.
 
mkuu hujakosea, nimeshaedit hyo post, nisamehe siunajua wengine tumejua computer wakati tumesha balehe so mambo haya ya ku'attach ni magumu sana kwetu

Usijali mkuu pamoja sana
 
Jamani hawa watoto wanaweza kunitoa roho nikiwakuta live hv,
 
waacheni watoto wacheze jamani.:biggrin::biggrin::biggrin:
 
Halafu naona kama walikuwa disco la ndani, kwa pembeni naona na wengine....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom