Wakitumikia Kifungo cha Nje

Na wafanye usafi kweli kwa hayo masaa 4
 
Kwa kuisababishia sirikalu hasara ya mabiiiii unapewa hadhabu ya kufagia???khaa,,,,,,
 
Sasa hii ni adhabu au starehe? Hizi hukumu ni kizunguzungu
 
Hao wangetakiwa wafungwe jiwe zito alafu watoswe baharini kwenye kina kirefu....
 
Jamaa hawa wanafagia je mkwepa kodi adhabu itakuwa kupiga deki chooni ila mwizi wa kuku jela miezi sita.hii ndo Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…