Wakiona hivi wanajisikiaje rohoni mwao?

Wakiona hivi wanajisikiaje rohoni mwao?

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
attachment.php

Halafu The same country:

1. Ina madini ya kila aina (uranium,dhahabu,almasi,copper,makaa ya mawe)
2. Imezungukwa na maziwa matatu (victoria,tanganyika na nyasa)
3.ina bandari 3 (dar es salaam,mtwara na bagamoyo)
4. ina eneo la nchi (mita za mraba) kubwa
5.ina vivutio vya kitalii (kilimanjaro,serengeti,olduvai etc)
6. n.k

Nchi hii bado iko kwenye lindi la umaskini...(Haina barabara,haina maji safi,elimu mbovu etc)

Haijalishi wewe kama raia unakula nini..unaendesha gari gani..unalala wapi...kwa nje unahesabika unatoka tanzania. (LDC)

kwanini haya yote:

1. Kukosa viongozi wazalendo..kukosa viongozi wenye uchungu na nchi yao. kua na viongozi walio tayari kuuza rasilimali za nchi ili wafaidike wao..wasio na utayari wa kutimiza majukumu yao kwa uadilifu kama walivyo apa wakiwa wameshika bibilia au msaafu.

kwanini mtu ajilimbikizie mabilioni ya pesa za wananchi..ilihali tumbo lake haliwezi kumaliza hata mkate wa mia elfu moja? kwanini akaziweke fedha hizi nje ya nchi...hata asijenge hoteli basi ndani ya nchi aajiri watanzania wenzake??
hizi laana watazibebaje??

NB: Nimeona mtu akiwa karibia anakufa kwa njaa.....tanzania hii hii..ambayo wabunge wanalalamika laki 2 haiwatoshi kwa posho kwa siku..nje ya mshahara..
 
Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    76.3 KB · Views: 2,599
Ingefaa unisaidie kunitaarifu data hii ni ya mwaka gani ili nichangie kwa uhakika.
 
Najuta Kuzaliwa Nchi Moja Na Haya Manyang'au Maccm
 
Unashangaa nini? Mbona waliulizwa kwa nini hii nchi ya asali na maziwa ni masikini wakasema na hata wao hawajui. Ebo, sasa kama huna jibu hata kwa hilo swali ambalo ulitakiwa uwe na majibu kabla ya kukubali uongozi tukueleweje?
 
wanajali accunt zao za ndani na nje ya nchi zina kiasi gani cha pesa. Haitakuwa ajabu viongozi wa nchi hii ni matajiri kuliko nchi zote zilizoongoza kwenye hii list.
 
attachment.php

Halafu The same country:

1. Ina madini ya kila aina (uranium,dhahabu,almasi,copper,makaa ya mawe)
2. Imezungukwa na maziwa matatu (victoria,tanganyika na nyasa)
3.ina bandari 3 (dar es salaam,mtwara na bagamoyo)
4. ina eneo la nchi (mita za mraba) kubwa
5.ina vivutio vya kitalii (kilimanjaro,serengeti,olduvai etc)
6. n.k

Nchi hii bado iko kwenye lindi la umaskini...(Haina barabara,haina maji safi,elimu mbovu etc)

Haijalishi wewe kama raia unakula nini..unaendesha gari gani..unalala wapi...kwa nje unahesabika unatoka tanzania. (LDC)

kwanini haya yote:

1. Kukosa viongozi wazalendo..kukosa viongozi wenye uchungu na nchi yao. kua na viongozi walio tayari kuuza rasilimali za nchi ili wafaidike wao..wasio na utayari wa kutimiza majukumu yao kwa uadilifu kama walivyo apa wakiwa wameshika bibilia au msaafu.

kwanini mtu ajilimbikizie mabilioni ya pesa za wananchi..ilihali tumbo lake haliwezi kumaliza hata mkate wa mia elfu moja? kwanini akaziweke fedha hizi nje ya nchi...hata asijenge hoteli basi ndani ya nchi aajiri watanzania wenzake??
hizi laana watazibebaje??

NB: Nimeona mtu akiwa karibia anakufa kwa njaa.....tanzania hii hii..ambayo wabunge wanalalamika laki 2 haiwatoshi kwa posho kwa siku..nje ya mshahara..

Ni kwa vile wana CCM
 
Kwa data hizi, CCM hawakawii kukwambia wewe ni mchochezi.
 
Wametupita Sudan Kusini, Taifa liliozaliwa siku za karibuni. Nitahama!
 
Ingefaa unisaidie kunitaarifu data hii ni ya mwaka gani ili nichangie kwa uhakika.

Forty-eight countries, from Afghanistan to Zambia, made the U.N.'s list of Least Developed Countries of 2012.33 of the 48 countries are in Africa. 9 are Asian, and 5 are Pacific Island nations.
Next U.N's report will be released in 2015.
Ni hayo tu mkuu.
 
attachment.php

Halafu The same country:

1. Ina madini ya kila aina (uranium,dhahabu,almasi,copper,makaa ya mawe)
2. Imezungukwa na maziwa matatu (victoria,tanganyika na nyasa)
3.ina bandari 3 (dar es salaam,mtwara na bagamoyo)
4. ina eneo la nchi (mita za mraba) kubwa
5.ina vivutio vya kitalii (kilimanjaro,serengeti,olduvai etc)
6. n.k

Nchi hii bado iko kwenye lindi la umaskini...(Haina barabara,haina maji safi,elimu mbovu etc)

Haijalishi wewe kama raia unakula nini..unaendesha gari gani..unalala wapi...kwa nje unahesabika unatoka tanzania. (LDC)

kwanini haya yote:

1. Kukosa viongozi wazalendo..kukosa viongozi wenye uchungu na nchi yao. kua na viongozi walio tayari kuuza rasilimali za nchi ili wafaidike wao..wasio na utayari wa kutimiza majukumu yao kwa uadilifu kama walivyo apa wakiwa wameshika bibilia au msaafu.

kwanini mtu ajilimbikizie mabilioni ya pesa za wananchi..ilihali tumbo lake haliwezi kumaliza hata mkate wa mia elfu moja? kwanini akaziweke fedha hizi nje ya nchi...hata asijenge hoteli basi ndani ya nchi aajiri watanzania wenzake??
hizi laana watazibebaje??

NB: Nimeona mtu akiwa karibia anakufa kwa njaa.....tanzania hii hii..ambayo wabunge wanalalamika laki 2 haiwatoshi kwa posho kwa siku..nje ya mshahara..

Tanga Bandari ya kwanza kusafirisha mkonge duniani!
 
Ok.Where is Kenya.Its very painful to be considered as Least Developed Country with all resources we have.We need God intervation and our people to be enlightened for changes.
 
Wametupita Sudan Kusini, Taifa liliozaliwa siku za karibuni. Nitahama!

kumbe hata kusoma hujui... Iliyo chini zaidi ni yenye number ndogo... Meaning Sisi tuko juu ya Uganda lakini chini ya Zambia.
 
Mi nampa pongezi tu kwa hiyo kazi aloifanya na sijui kachukuwa muda gani wa kuanza kuiandaa hadi kuimaliza na kumpa mtu wa kusahihisha kama ina makosa asaanti na ujitahidi zaidi huwenda mwakani ukapata tunzo ya nobel ya marikani maana ndo baba wa dunia
 
Ukitoa tatizo toa na ushauri tutajikwamua vipi kutoka hapo vinginevyo zitakua ni ngonjera tu
 
Ok.Where is Kenya.Its very painful to be considered as Least Developed Country with all resources we have.We need God intervation and our people to be enlightened for changes.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="class: table_head"]Top 10 Poorest Countries of the World (2013)[/TD]
[TD="class: table_right_corner, width: 11"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tableizer-table"]
[TR="class: tableizer-firstrow"]
[TH]Rank[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Currency[/TH]
[TH]GDP Per Capita (2013)[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Democratic Republic of the Congo[/TD]
[TD]Congolese Franc [/TD]
[TD]$394.25 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Zimbabwe[/TD]
[TD]Zimbabwean dollar [/TD]
[TD]$589.46 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Burundi[/TD]
[TD]Burundi Franc [/TD]
[TD]$648.58 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Liberia[/TD]
[TD]Liberian Dollar [/TD]
[TD]$716.04 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Eritrea[/TD]
[TD]Nakfa[/TD]
[TD]$792.13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Central African Republic[/TD]
[TD]CFA Franc[/TD]
[TD]$827.93 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Niger[/TD]
[TD]CFA Franc[/TD]
[TD]$853.43 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Malawi[/TD]
[TD]Kwacha[/TD]
[TD]$893.84 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Madagascar[/TD]
[TD]Malagasy ariary[/TD]
[TD]$972.07 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Afghanistan[/TD]
[TD]Afghan afghani[/TD]
[TD]$1,072.19[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

The figures above include data and forecasts for the wealth of countries and regions for year 2013. Source: the IMF
Na hiyo nayo je.wacheni kudanganya watu unaiona Tanzania hapo.nenda kwenye even 20 poorest hutaiona pia.
 
Ingefaa unisaidie kunitaarifu data hii ni ya mwaka gani ili nichangie kwa uhakika.
Nchi iliingia kwenye LDC mwaka 1971 na ukiangalia pale chini baada ya list inaonekana kikao cha review kilikuwa 04/12/2013 Mbwembwe nyingi za watu kulipa malaki tatu hadi mamilioni kama posho lakini tunaogolea kwenye ufukara mkubwa isipokuwa wachache ndio wanaofaidi keki ya taifa
 
kumbe hata kusoma hujui... Iliyo chini zaidi ni yenye number ndogo... Meaning Sisi tuko juu ya Uganda lakini chini ya Zambia.
Mimi nimeona zimeandikwa kwa alphabetical order sio kwa kiwango cha ufukara ingawa zote zipo kwenye chungu kimoja. Wameanza na yenye kuanza na herufi A hadi Z
 
Back
Top Bottom