Huwezi amini ushirikina kama wewe siyo mshirikina. Great thinker una-conclude kiwango cha ushirikina wa kabila kwa kulinganisha makabila kutoka wilaya mbili tu???. Makete vs Handeni. you must be joking!!!!.
Ukiachana na umaarufu wa CHUO CHA UALIMU TANDALA,HOSPITALI MAARUFU YA IKONDA labda labda na umaarufu wa mganga wa kienyeji dr.MWAKIPANDE na nyumbani kwa kina Deo Filikunjombe Wakinga wa MAKETE wapo taabani kwa umaskini ulio kidhiri,'KILA KITU WAO NI MWALIMI TU HATA KAMA UNAWADANGANYA,watu hawa wa makete ambao asilimia kubwa ni akina SANGA na MBILINYI hawajui cha kufanya ili umaskini angalau upungue kwao,Ukipita maeneo ya Masisiwe,Ikete,Maliwa,Sunji,LUPILA,Tandala,Lupalilo,Mago,Kasinga,Ndulamo,Iwawa,Idanganya,Makete Junction,Ivalalila ,BULONGWA na kwengineko MAKETE Unaweza ukadhani Watanzania Maskini ZAidi wanapatikana huku,Baada ya sekeseke la ukimwi kuwanyanyasa kwa muda mrefu sasa angalau Presure imepungua ila vijana wanapakimbia kabisa MAKETE hawapa taki kabisa kwasababu huwezi kuwa na hela na ukaishi MAKETE HALI NI MBAYA.
Arthi ya MAKETE inarutuba inayo kosekana sehemu kubwa hapa Duniani lakini Serekali ipo ipo tu,kule Mahindi,NGANO,SHAIRI,MTAMA,ALIZETI VIAZI,na mazao ya MIti yanakubali ile mbaya lakini mpaka leo tarehe 27/11/2013 MAKETE hawajapata Mbolea ya RUZUKU.Madini kila kona kule lakini WAKINGA ni maskini asikuambie mtu.HUku UKINGANI maji si ya tabu kabisa lakini kilimo cha umwagiliaji hakijafika huku kabisa ninahisi haya ni maajabu,Na watu wa huku wanakijua zaidi kilimo cha jembe la mkono katika karne hii ya 21.
MY TAKE:RAFIKI YANGU NAPE HEBU TUAMBIE KWANINI WAKINGA NI MASKINI!
MMELIONGOZA JIMBO HILO KWA MIAKA 50 SASA JE MNAJIPYA LA KUTUFANYIA WATANZANIA WA MAKETE!

Uko Subjective Mkuu na Sijui vigezo vp umetumia kuja na hitimisho dhalilishi kama hilo kwa wanamakete pamoja na changamoto ulizoziainisha lkn yapo mengi mazuri unapotembelea vijiji husika kwa mfano kijiji cha Bulongwa Kina Umeme, Nyumba za Kisasa na maisha kwa ujumla ya wakazi wa hapo ni mazuri tu......Je umewahi muona wapi mkinga kawa ombaomba pamoja na umasikini wake? Ni lini umesikia Makete tunaomba msaada wa chakula serikalini kisa tumepatwa na njaa? UMETUMWA WEWE NA KWA KIFUPI TEMBELEA NA MIKOA MINGINE KAMA DODOMA, SINGIDA, MANYARA, SHINYANGA, RUKWA NDO UJE NA HITIMISHO HILO
Unashangaa nini Tajiri kama Wanyama aliyekuwa na wanyama Hotel Kariakoo na magorofa kibao kako pamoja na utajiri woooote alikuwa hajajenga kwao maana hakukuwa na mtu anayeishi huko maana ndugu karibuni wooote alishawamaliza,alipokufa ilibidi kwanza wavute mda ikajengwa nyumba faster ndani ya wiki 2 ndio akaenda kuzikwa kwao
watoto wa mwakipande na mseketwa utawaweza?
Umekimbia?
karibu numbu mkuu, unapenda mbichi au za kuchemsha
Mapembelo binamu! Obwana ojo ajag'hile enzela, ingie mukhesotu. Makete sasa hivi kukuta nyumba ya nyasi ni nadra sana, sasa hivi hata umeme wa tanesco usipofika watu wanavuta solar tena vijijini kabisa! Ikipita lami kule watu wakawa na uhakika wa kusafiri mwaka mzima wakinga wote watahamishia nyumba zao makete. Eti kilimo cha umwagiliaji, sasa mle lwamadovela utamwagiliaje?
DONT panic nimeizungumzia makete tu huko kwingineko nitakuzungumzia siku nyingine any way kama unajua umaskini ni tanzania nzima kwanini unaendelea kuishabikia CCM chanzo cha umaskini wakoumaskini ni kwa Tanzania nzima,ebu tueleze kwa evidence ni jimbo gani ambalo halina maskini hata mmoja?,halaf kusema kabila la watu pia hapo umeteleza,kama ungekuwa great thinker ungeongelea tatizo la umaskin kwenye eneo na sio kutaja kabila manake nna iman hapo makete na makabila mengine pia yapo!,kwa kutaja kabila umeonyesha ni jinsi gan ulivyo na simple mind!
Barabara ya lami sasa ipoJamaa hakufanya utafiti wa kutosha,au hajafika sehemu tofauti tofauti za nchi yetu. Makete inapata mvua kufuata kalenda ya Mungu, sasa umwagiliaji wa nini? Wanamwagilia wasio na mvua. Makete kuna chakula cha kuwatosha mwaka mzima ndani ya wilaya yao.Karibu 98% ya nyumba za vijijini ni za bati,kama ni elimu,naamini mtoa mada angeangalia Wizara ya elimu wanasema nini. Makete iko juu vizuri sana,wakinga/wawanji/wamagoma/wamahanji wanasoma kwa bidii kweli.
Matatizo yapo, jogorafia ya Makete inafanya Makete kuwa na outlet/inlet zaidi ya moja. Ndio maana watu wakipita Njombe mpaka Makete wanadhani wamefika Makete yote,kumbe kuna njia ya Uyole Makete au Chimala Matamba Makete,au Ruaha ikuwo Makete,au Kipengere Lupila na hii inayojulikana ya Njombe Makete.
Ukimwi upo kila mahali Tanzania,ila Ukimwi wa Makete watu waliufanyia biashara ndio maana ikaonekana hata miti ina ukimwi. Kama ni huduma za afya, Makete kuna hospitali kubwa tatu za kiwango cha Kitaifa sio vituo vya afya, ipo Ikonda (RC), ipo ya Wilaya na ipo Bulongwa(KKKT), zipo shule za sekondari za kutosha,vyuo vya kati vipo kama VETA,NURSING,UALIMU viwili,DENTIST BULONGWA, usafiri wa mabasi/malori upo kila siku. Umeme wa tanesco na watu binafsi upo.
Barabara ya lami haipo,kama ambavyo LindiKigoma/Bukoba/Rukwa ilikuwa haijaunganishwa na lami kwa miaka dahali,uwanja wa ndege haupo.
Umeme ukienea wilaya nzima yafuatayo yatatokea, Makete itaweza kuwa na viwanda vya fenicha kila kata,inaweza kusindika maziwa kwa sababu hali ya hewa inaruhusu kufuga,inaweza kulima maua. Inaweza kufungua kiwanda cha karatasi,matunda yatasindikwa kule,hata maji ya kunywa tutasafirisha kuja kwenu. Makete kutajengwa recreation camps sababu hali ya hewa ni bomba.
Ushirikina/umaskini/ukosefu wa elimu hata hapa Ilala/Kinondoni/Temeke upo bila kujali umbali toka Ikulu. kuna watu hawajui kusoma hapa hapa Ubungo,kuna watu hawapati chakula hata kama wapo Tandale kwenye soko la vyakula,pale Kigamboni kuna watu hawana maji hata kama wako beach.
Inaonekana wakinga walikubamiza ww mtoa mada.