Ukiachana na umaarufu wa CHUO CHA UALIMU TANDALA,HOSPITALI MAARUFU YA IKONDA labda labda na umaarufu wa mganga wa kienyeji dr.MWAKIPANDE na nyumbani kwa kina Deo Filikunjombe Wakinga wa MAKETE wapo taabani kwa umaskini ulio kidhiri,'KILA KITU WAO NI MWALIMI TU HATA KAMA UNAWADANGANYA,watu hawa wa makete ambao asilimia kubwa ni akina SANGA na MBILINYI hawajui cha kufanya ili umaskini angalau upungue kwao,Ukipita maeneo ya Masisiwe,Ikete,Maliwa,Sunji,LUPILA,Tandala,Lupalilo,Mago,Kasinga,Ndulamo,Iwawa,Idanganya,Makete Junction,Ivalalila ,BULONGWA na kwengineko MAKETE Unaweza ukadhani Watanzania Maskini ZAidi wanapatikana huku,Baada ya sekeseke la ukimwi kuwanyanyasa kwa muda mrefu sasa angalau Presure imepungua ila vijana wanapakimbia kabisa MAKETE hawapa taki kabisa kwasababu huwezi kuwa na hela na ukaishi MAKETE HALI NI MBAYA.
Arthi ya MAKETE inarutuba inayo kosekana sehemu kubwa hapa Duniani lakini Serekali ipo ipo tu,kule Mahindi,NGANO,SHAIRI,MTAMA,ALIZETI VIAZI,na mazao ya MIti yanakubali ile mbaya lakini mpaka leo tarehe 27/11/2013 MAKETE hawajapata Mbolea ya RUZUKU.Madini kila kona kule lakini WAKINGA ni maskini asikuambie mtu.HUku UKINGANI maji si ya tabu kabisa lakini kilimo cha umwagiliaji hakijafika huku kabisa ninahisi haya ni maajabu,Na watu wa huku wanakijua zaidi kilimo cha jembe la mkono katika karne hii ya 21.
MY TAKE:RAFIKI YANGU NAPE HEBU TUAMBIE KWANINI WAKINGA NI MASKINI!
MMELIONGOZA JIMBO HILO KWA MIAKA 50 SASA JE MNAJIPYA LA KUTUFANYIA WATANZANIA WA MAKETE!

Sijui kiwango cha umasikini unapima kwa kutumia nini. Naona kama unatumia hisia kuandika kuliko ukweli ulivyo. Mimi ni mzaliwa wa huko. sidhani kama umaskini wa watu wa makete ni wa kiwango ambacho ni tofauti na hali halisi ya sehemu nyingi za vijijini hapa Tanzania. Sifurahii level ya umaskini iliyopo, lakini mwandishi hujaonyesha weledi wa kutosha katika andishi lako zaidi ya hisia tu.Kuhusu irrigation unadhani landscape ya makete ilivyo kwa sehemu kubwa, irrigation schemes zinaweza zikawa practical???
Labda ungejiuliza wewe kwa nini Wafanyabiashara wakubwa wenye asili ya kikinga hawapendi kuwekeza Makete?Na sasa hivi Tanzania ukiondoa wachaga katika biashara wanafuatia wakinga sehemu kubwa ya Tanzania wapo wafanyabiashara wakubwa wenye asili ya wakinga,wamejenga sana karoako,Mbeya ndiyo wamezajana,washauri wakawekeze Makete!Mapambelo vavene!!!
MY TAKE:RAFIKI YANGU NAPE HEBU TUAMBIE KWANINI WAKINGA NI MASKINI!
MMELIONGOZA JIMBO HILO KWA MIAKA 50 SASA JE MNAJIPYA LA KUTUFANYIA WATANZANIA WA MAKETE!
Huwezi amini ushirikina kama wewe siyo mshirikina. Great thinker una-conclude kiwango cha ushirikina wa kabila kwa kulinganisha makabila kutoka wilaya mbili tu???. Makete vs Handeni. you must be joking!!!!.
mimi natoa ushauri tu. Muache kuua ndugu zenu kisa utajiri. Tumechoka kuzika migomba.