technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Yap wanasema kila utajira una ukafiri nyuma yake na ili uwe kafiri lazima uwe mafia kweli kweliKuwa tajiri inahitaji uwe mafia
Who is SH Amon ?Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo
lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia
iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake usitake
kwanza anakufuata anakwambia anataka kuuziwa eneo lako.
ukikataa utatekwa utapelekwa kusikojulikana utasainishwa mkataba na ndio utakuwa imeisha hiyo
kinga tycoon ni hatari Sana wamewazidi mbali sana Kikuyu wa Kenya ambao ndio walikuwa ma tycoon hatari zaidi kusini mwa jangwa la Sahara!!
sasa najiuliza idara zetu za usalama zimekubali watu wengine wasiwe na haki ya kuwa na maeneo kariakoo? Au ni planned?
fanyeni research me nimeleta kwa sababu nime experience the consequences
aise Hawa jamaa ni Mafia sijawai kuona!!
Mkuu hii taarifa yako sio tu ya kuchukulia poa ila pia inahitaji vyombo vyote vya usalama kufuatilia ni bora ungetoa hata mwanga kwamba mfano plot namba flani wamefanya umafia wao pale.
Maana kwa sasa inaonekana Tanzania imekuwa shamba la bibi mtu anaweza kufanya jambo llte bila hata hofu.
Dah! Samia stuka kuna wahuni wanakuhujumu kama ni kweli
Sasa mkuu unashauri tufanye nini sisi kama raia?Huyu samia mnapenda kum portray kama mtoto kumbe ni mmama mtu mzima anayejua uhuni wote nchini ila ameamua kuufumbia macho
Hili linatia mashaka makubwa. Utekwe na usanishwe mikataba kwa nguvu? Kuuza eneo hakuna mashahidi na taratibu nyingine nyingi? Ingekuwa uthibitisho wa kuuziwa eneo ni hati zilizosainiwa tu si majambazi na matapeli ''wangepora'' maeneo mengi sana? Hili unalosema huenda kuna mtu aliuza eneo kwa bei chee halafu baada ya kugutuka akadanganya kuwa alitekwa na kulazimishwa. Au aliuza eneo na sasa anataka kulipora. Au alikopa fedha kwa bond ya eneo na baada ya kushindwa kulipa na eneo kuchukuwa akaamua kutunga.Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo
lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia
iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake usitake
kwanza anakufuata anakwambia anataka kuuziwa eneo lako.
ukikataa utatekwa utapelekwa kusikojulikana utasainishwa mkataba na ndio utakuwa imeisha hiyo
kinga tycoon ni hatari Sana wamewazidi mbali sana Kikuyu wa Kenya ambao ndio walikuwa ma tycoon hatari zaidi kusini mwa jangwa la Sahara!!
sasa najiuliza idara zetu za usalama zimekubali watu wengine wasiwe na haki ya kuwa na maeneo kariakoo? Au ni planned?
fanyeni research me nimeleta kwa sababu nime experience the consequences
aise Hawa jamaa ni Mafia sijawai kuona!!
Propaganda izo sisyo jenga zaid ya kupotosha umma waknga kwenye 20 list ya makabila makubwa na matajr Tz aimo sasa nyie mliachiwa 10 kwa 10 na babu yenu mmeshndwa kuendeleza anakuja mkinga mmoja anawapa 50 milion muwame mnaaza kujauku kusema jamaa wana pesa wakat za kawaida hyo n kujibrand nyie wakinga lakn amna jpyaWakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo
lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia
iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake usitake
kwanza anakufuata anakwambia anataka kuuziwa eneo lako.
ukikataa utatekwa utapelekwa kusikojulikana utasainishwa mkataba na ndio utakuwa imeisha hiyo
kinga tycoon ni hatari Sana wamewazidi mbali sana Kikuyu wa Kenya ambao ndio walikuwa ma tycoon hatari zaidi kusini mwa jangwa la Sahara!!
sasa najiuliza idara zetu za usalama zimekubali watu wengine wasiwe na haki ya kuwa na maeneo kariakoo? Au ni planned?
fanyeni research me nimeleta kwa sababu nime experience the consequences
aise Hawa jamaa ni Mafia sijawai kuona!!
Undeni group la kujilinda dhidi ya hao wahalifu. Samia hawezi kukusaidia kwa lolote labda kama msaada wake utampatia political millage.Sasa mkuu unashauri tufanye nini sisi kama raia?
Angalau ungetoa mfano wa tukio moja tu la utekaji. Vinginevyo Wakinga ni fighters sio kawaida. Pia wanajua financial management.Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo
Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia
Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake usitake
Kwanza anakufuata anakwambia anataka kuuziwa eneo lako.
Ukikataa utatekwa utapelekwa kusikojulikana utasainishwa mkataba na ndio utakuwa imeisha hiyo
Kinga tycoon ni hatari Sana wamewazidi mbali sana Kikuyu wa Kenya ambao ndio walikuwa ma tycoon hatari zaidi kusini mwa jangwa la Sahara!!
Sasa najiuliza idara zetu za usalama zimekubali watu wengine wasiwe na haki ya kuwa na maeneo kariakoo? Au ni planned?
Fanyeni research me nimeleta kwa sababu nime experience the consequences
Aise Hawa jamaa ni Mafia sijawai kuona!!
Sasa na wewe kabila lako si lianze hivyo?Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo
Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia
Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake usitake
Kwanza anakufuata anakwambia anataka kuuziwa eneo lako.
Ukikataa utatekwa utapelekwa kusikojulikana utasainishwa mkataba na ndio utakuwa imeisha hiyo
Kinga tycoon ni hatari Sana wamewazidi mbali sana Kikuyu wa Kenya ambao ndio walikuwa ma tycoon hatari zaidi kusini mwa jangwa la Sahara!!
Sasa najiuliza idara zetu za usalama zimekubali watu wengine wasiwe na haki ya kuwa na maeneo kariakoo? Au ni planned?
Fanyeni research me nimeleta kwa sababu nime experience the consequences
Aise Hawa jamaa ni Mafia sijawai kuona!!
wakinga hawana tabia hizo, kwa sababu kwanza hata elimu huwa hawana. ungeniambia uchawi hapo ningekubaliana na wewe, ila huko ulikoenda sio.Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo