Wakinga acheni fujo Kariakoo kila ghorofa la " mkinga fulani" hakika Tuntemeke Sanga hakukosea kuiasisi Chadema ya Mabepari

Pale wewe kama sio mkinga unapewa famba tu utoe kelele, wakinga ndio hupewa vitu OG .
Inawezekana kabisa man!.
Hata hivyo nilichomoa nikaona bora nikomae tu kibishi na hasa ukizingatia stories za kipindi kile kwamba ili utoboe inabidi umtangulize mzazi au ndugu yako wa karibu sana!!!.
 
Wakinga utumia kanuni sahihi za utajiri ambayo yeyeto akitumia huwa.wafanyacho wakinga ndicho wafanyacho weupe kuwafanikwa.
Ingekuwa uchawi unaleta utajiri waafrika wasingekuwa masikini
 
Daah umenikumbusha mzee Mwaki,kuna kipindi nipo Ludewa napiga biashara kuna msela wangu Mkinga alikuwa ananishawishi 'nikanyooshe' mambo yangu kwa mzee Mwaki!!.
bila shaka ilikuwa biashara ya mbao, viazi, nguzo au mahindi maana hizo ndio biashara za ludewa.
 
Mapembelo vavene
 
Ulitjibitishiwa kwa hati za umiliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…