Majibu umeshayatoa tayari, walikua wanachama wa CUF waliokasirika na hawakua wanachama wa ACT bado. In fact waliotakiwa kufutiwa uanacha ni CUF wenyewe na sio ACTWakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?
Mwenye majibu atujuze.
Na walichoma wapi na saa ngapi na ni nani kachoma? Mwenye ushahidi alete hapa jamvini tuuone. Video ya youtube haiwezi kuwa ushahidi kama kuna wanachama wa ACT wamechoma moto bendera ya CUF. Kama ni mamluki wamefanya hivyo ili chama kionekane kina fujo utamchukuliaje hatua ACT? Wapatikane hao waliochoma moto kama kweli wapo, wahojiwe na waseme nani aliwatuma kuchoma moto hiyo bendera!!! Nadhani mamlaka ina woga tu na ACT maana kimeibuka na kuwa nambari mbili badala ya CUF kutoka kuwa kachama kadogo sana. Ila nimefurahi kwa ajili ya ZZK maana CDM walimfanyizia sana. Angalau anapumua sasa. Tuhuma zote walizomtupia hawajazithibitisha kwetu hivyo wengine tunaona ngumu kumeza.Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?
Mwenye majibu atujuze.
Ha haha!!! Umenena mkuu. CUF ifutwe maana wanachama wake wamechoma bendera yao.Majibu umeshayatoa tayari, walikua wanachama wa CUF waliokasirika na hawakua wanachama wa ACT bado. In fact waliotakiwa kufutiwa uanacha ni CUF wenyewe na sio ACT
Wafuasi wa CUF wenyeweWakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?
Mwenye majibu atujuze.
Wakat znachomwa hz alivaa miwan ya MBAO tucmlaumu kwa jambo aclolionaNisaidieni kumtag huyo msajili, tuone kama anawafahamu hao na aliwachukulia hatuaView attachment 1054221View attachment 1054222
Sent using Jamii Forums mobile app
Augustine Matefu Kada wa CCM ametekeza Mali za ACT Wazalendo huko Kigoma wakati akipokea wanachama wapya waliojiunga na CCM wakitokea ACT wazalendo(Kwa Mujibu wa Maelezo yake Augustino).Eti kusema takbra ni kueneza dini.....maajabu ya msajili haya....
Msajili ana wenge sana..! Mihemko ni ujinga mtupu..Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?
Mwenye majibu atujuze.