Wakina mama Wallah mnakazi

if not now

Senior Member
Mar 4, 2017
186
171
Kassim 20160824_212554.jpg
 
Watoto ni Furaha..hapo basi mama atamtishitishia huku akitafuta maji moto na sabuni amuogeshe kabisa...loooh I love babies...
 
ha ha ha! hlf mwengine anasema kweli mke wangu sijachepuka hlf wkt huohuo kavaa ndom hlf kageuza boxer! ama kweli poleni dada zetu
 
Hahah watoto ni faraja kwa kweli ndio maana mtu ukikosa mtoto unajisikia kama mtu mwenye mapungufu
Hiyo picha imenifurahisha sana kwakweli.. Kuna siku nilikuta baby wangu amefungua mafuta ya kupaka akajipakaaa usoni karibu yooote nikamuuliza umefanyeje akajibu" tio Mimi mama andu" akimaanisha sio Mimi mama Yangu...daaaah... Furaha sana!
 
Back
Top Bottom