Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Leo Umoja wa Wanawake wa CCM wamemfanyia sherehe kubwa Dr Asha-Rose Migiro kwa kurejea kwake nchini baada ya miaka yake 5 kama Naibu Katibu Mkuu wa UN, kazi ambayo wakina mama hayo wamesema aliifanya kwa weledi na kwa mafanikio makubwa.
Mafanikio makubwa? Hivi wanadhani hatujui kwamba Dr migiro alishindwa kupeform hiyo kazi na ndiyo maana ameng'olewa baada ya kipindi kimoja tu?
Mjane wa Mwangosi anachangiwa na wasamaria wema sasa hivi ili aweze kulisha watoto wanne thanks to Jeshi la polisi ya serikali ya ccm. Wanawake wa CCM jinsi walivyo katili wana ujasiri wa kuchezesha vitambi vyao huku wanawake wengine maskini wanajifungulia sakafuni.
Umoja wa wanawake ulikufa na wakina Bibi Titi, Lucy Lameck, sio hawa wa sasa wanaficha vitambi vyao kwenye magauni makubwa kama magunia!
Afya ya Migiro mmeionaje wakuu?!! naona kama mama amedhoofu au?!!
Mkuu hilo nalo neno iwas to ask the same Qn.....hali imekuwa tete......sometime stress inaweza amount too.soon ukweli utakuwa hadharani.
Umoja huo nao ni janga la taifa!!!!
Na hilo ndo linawafanya wazidi kudharauliwa, eti achaguliwe kwakuwa ni "mwanamke?" ningefikiri kuwa mtu achaguliwe kwakuwa "anaweza na anafaa". Hatupaswi kumchagua mtu kwasababu ya jinsia yake na hatupaswi kutomchagua mtu kwasababu ya jinsia yake. Tunapaswa kumchagua mtu kwasababu "anao uwezo" LAKINI asiwe mwanaCCM tushachoka na ngojera zao hao!!!Tuliambiwa ni zamu ya mwanamke kuwa Spika, wasijaribu kuja tena na ngonjera za jinsia 2015. Mtu agombee kutokana na merit na sio aina ya viungo vya mwili! fulll stop.
Umenivunja mbavu mkuu -- kweli wanaficha vitambi. Halafu hawa wakina mama kwa n**** ndiyo wenyewe. Nimemuona mmoja Zakia Megji naye akijimwaya kucheza jukwaani -- anadhani tumesahau ufisadi wake wa kujaribu kufunika waziwazi kashfa ya EPA!
Si mzalendo hata kidoigo!!!!!