Wakina Cameron wafungwa Cameroon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakina Cameron wafungwa Cameroon

Discussion in 'International Forum' started by AK-47, Nov 24, 2011.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Cameroon jails men over gay sex

  Three men in Cameroon have been sentenced to five years in prison for homosexual acts, which are illegal in the central African nation.

  Two of the accused were in court in the capital, Yaounde, but a third man was sentenced in absentia as he had jumped bail.

  Police said the men were arrested for having oral sex in a car.

  They denied the allegations and their lawyer Alice Nkom said they were arrested for looking feminine.

  Source Bbc
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani cameron naye ni homosexual?
   
 3. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanaume watatu nchini Cameroon wamehukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja ambavyo ni kinyume na sheria za taifa hilo lililo Afrika ya kati.

  Watuhumiwa 2 walikuwa mahakamani katika mji mkuu Yaounde, lakini mtu wa watu alihukumiwa bila kuwepo.

  Polisi walisema watu hao walikamatwa kwa kukutwa wakifanya mapenzi kwenye gari, "Inatisha na ni uamuzi usiokubalika," Mwanasheria wa Cameroon na mwnaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja Alice Nkom aliliambia shirika la habari za AFP: "Si sawa kwa nchi inayozungumza juu ya haki za binadamu," alisema.

  Mwandishi wa BBC Randy Joe Sa'ah aliyeko Yaounde anasema hofu imesambaa nchini Cameroon, kama katika baadhi ya nchi nyingine Afrika. Anasema pamoja na miaka mitano jela, adhabu kubwa ya kufanya mapenzi ya jinsia moja nchini Cameroon – wanaume hao walitakiwa kulipa faini ya Francs 200,000 CFA francs (sawa na $400, £260).

  Wakili wao Michel Togue alisema ni hukumu mbaya na anamtuhumu jaji kwa kuchanganya kesi hiyo na uchochezi [linaripoiti shirika la AFP].

  Wanaume hao wawili walikataliwa dhamana mwezi Agosti. Mshtakiwa wa tatu alipewa dhamana baada ya kukamatwa mwezi Julai na hakutokea mahakamani wakati kesi yake inasikilizwa.

  Bi Nkom, anayeongoza shirika la kiraia la kutetea wapenzi wa jinsia moja ameaimbia BBC kuwa Agosti hakukuwa na ushahidi dhidi ya watu hao na walikamatwa kwa sababu walionekana kama wanawake na nywele zao ‘walitengeneza kama wanawake’ "Hili ni kosa la kimitindo, sio wapenzi wa jinsia moja," alisema.

  Shirika la kutetea haki za Binadamu limesema sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja ni kali, ya kibaguzi na haina budi kufutwa.

  - via BBC Swahili


  source: Wavuti - Habari
  My take;;;Walitaka sisi tupokee hili swala wakati wao wanawafunga jela..!!?? Au huyo David Cameroon mwenyewe hajajua kuna wanao fungwa huko ndani ya nchi yake wakati anatutangazia sisi..!!!?????
   
 4. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  Hao 'cameron' wametiwa ndani Cameroun au kwa Cameron mcameruniwa?
   
Loading...