Wakimbizi wachoma moto kambi Ujerumani kisa hawakuamshwa mapema kula daku

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,828
32,733
Ebwana wanaJF Mzuka!

Wakimbiz huku Ujeruman wamechoma kwa moto kambi huko Ujeruman kwasabab hawakuamshwa kula daku. Inasemekana kuwa walinz katika iyo kambi ambao ni asili ya Iran eti walifanya maksud kutowaamsha mapema kupata msos. Vijana wa kutoka Morocco waliwaambia maripota. Kambi iyo yenye Wakimbiz 280 wengi wao kutoka masharik ya kat na kaskazin mwa Africa.

Halaf utawasikia wanalialia kama kondoo wapumbavu eti hawana pa kulala.

-----------------------------------
351578B100000578-3632965-image-a-1_1465467621530.jpg


A refugee camp in Germany was burned down by migrants amid claims they were angry they had not received a wake-up for Ramadan breakfast, it has been reported.

The large fire ripped through the centre - home to 280 refugees - completely levelling the hall in the western German city of Dusseldorf on Tuesday.

Emergency crews treated 25 people for smoke poisoning before police started an arson investigation amid claims a mattress had been sprayed with lighter fluid then torched.

According to the German newspaper Express, two Moroccans living at the centre said Iranian security staff at the facility had 'deliberately' not woken those observing Ramadan ahead of their scheduled breakfast time.

The newspaper reports the two men as saying that a plan was then formed to start a fire.

Witnesses reported that there had been recurring tensions between followers of different religions in the Red Cross-run facility.

'During this time of Ramadan, there was one group that wanted to strictly observe the fast, and another that insisted on the usual timetables and usual servings,' said Ralf Herrenbrueck, spokesman for the prosecutors service.

'This had led on several occasions to disputes and altercations with officials of the German Red Cross,' he said in an interview with public broadcaster WDR.

'It got to the point where threats were made over what would happen if things didn't change, and that one threat was obviously implemented.'

Since the start of the year, police had been called 89 times to the 65,000 sq ft hall, which was formerly part of the city's congress centre, reports said.

German authorities last night said two North African men were suspected of starting the blaze and causing extensive damage 'as part of a dispute over food'.

Police and prosecutors said one of the two 26-year-olds was seen pouring flammable liquid onto a mattress and setting fire to it, while the other told fellow residents: 'We had to do it so that things change.'

Investigators said an argument over food is believed to have preceded Tuesday's fire.

They said Muslims who weren't observing dawn-to-dusk fasting during Ramadan had complained about what they said was a small lunch.

Prosecutor Ralf Herrenbrueck told ZDF television that both suspects have told authorities they are North African.

TV footage of the blaze showed plumes of black smoke billowing into the air at the facility on the site of the city's trade fair.

The centre had been on fire since midday but the fire service brought the flames under control during the afternoon.


Source: Migrant camp in Germany is burned down 'in Ramadan meal time row'
 
Hahahaa kwani wao hawakuwa na alarm, hao wakimbizi wavivu af wana hasira kwa watu!
 
Kusema ukweli hawa jamaa ni tatizo kubwa sana kuishi nao, kwao maisha yamewashinda na kuamua kusafiri baharini safari ambayo ni hatari sana, wamepewa hifadhi, kana kwamba haitoshi wanaamua kuanzisha visa. Wakiharibu huko watakimbilia wapi tena. Naanza kukubaliana na Donald Trump
 
Ebwana wanaJF Mzuka!

Wakimbiz huku Ujeruman wamechoma kwa moto kambi huko Ujeruman kwasabab hawakuamshwa kula daku. Inasemekana kuwa walinz katika iyo kambi ambao ni asili ya Iran eti walifanya maksud kutowaamsha mapema kupata msos. Vijana wa kutoka Morocco waliwaambia maripota. Kambi iyo yenye Wakimbiz 280 wengi wao kutoka masharik ya kat na kaskazin mwa Africa.

Halaf utawasikia wanalialia kama kondoo wapumbavu eti hawana pa kulala.

Sosi:Migrant camp in Germany is burned down 'in Ramadan meal time row'
NANI ANAWAAMSHA MBONA HUKU KILA MTU ANASTUKA MWENYEWE?
 
Jana alileta Uzi akiwashawishi wakristo wenzake waue mashoga na akatoa kongole kwa kijana mmoja wakimarekani (muislamu) aliyeua mashoga 20.

Mimi nikajua labda haelewi nikamuelewesha kuwa ktk mafundisho ya uislamu huyo kijana amekosea kufanya hivyo lkn bado akatetea.

Leo hii alivyopost na hii thread nkaanza kumfatilia na nmegundua huyu mtu ana ajenda ya siri kuweni nae makini
 
Kusema ukweli hawa jamaa ni tatizo kubwa sana kuishi nao, kwao maisha yamewashinda na kuamua kusafiri baharini safari ambayo ni hatari sana, wamepewa hifadhi, kana kwamba haitoshi wanaamua kuanzisha visa. Wakiharibu huko watakimbilia wapi tena. Naanza kukubaliana na Donald Trump
Bora umeliona hili aiseee
 
Wawaache wakae hivyo hivyo, wasiijenge mpaka nchi zao walizokimbia zilete fedha za kuchangia ujenzi na vifaa! Ovyo kabisa.
 
haya ndo yalikuwa matakwa ya mleta mada sema ameshindwa kuongea direct
Wewe uko tofauti sana na walio wengi wa upande wako-bila shaka unaujua vyema uislam na unauishi ipasavyo. Nimepitia michango yako humu kwenye uzi huu na nimeona ukweli wako na huenda kweli mleta mada hakuwa na nia nzuri japokuwa kwa upande wangu niliona "kama kweli wamechoma kwa sababu hiyo basi ni vyema wakarudishwa makwao maana hawajajua maana ya kuwa Ujerumani zaidi"
Saivi nimepitia taarifa nzima tena nimegundua kuwa bado uchunguzi unafanyika kubaini chanzo cha moto huo hivyo inaweza ikawa kweli wamechoma kwa makusudi au la-uchunguzi utatoa taarifa kamili hivyo ni mapema sana kwetu kuhukumu nimebaini baada kusoma taarifa kamili.
 
Kwa nn wao wasiweke alarm? Ina maana kwamba hawana simu za mkononi au saa??mmmh msosi tu ndo Had uchome kambi!!!!
 
Back
Top Bottom