Wakimbizi wa Kisomali wagombaniwa na Marekani na Canada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakimbizi wa Kisomali wagombaniwa na Marekani na Canada

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Jun 29, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna maneno yamezagaa hapa kuhusu taarifa za wakimbizi wa kisomali kugombaniwa na marekani na canada,
  cha kushangaza kuna wakimbizi wengi kutoka nchi mbalimbali lakini wamarekani wamekataa kabisa kugeuka na kuwaangalia,
  wasomali wote wanaoishi south africa na botswana wanahamia marekani na wengine canada,
  kuna taarifa zisizo rasmi zinasema marekani wanawataka kwa sababu jamaa wana roho ngumu kinoma,
  watatumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo jeshi,biashara n.k
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mkuu! waache yatima wapate mlezi.
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa hata ulinzi mwingi kwenye hizo nchi ni wasomali
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  inawezekana aisee

  maana kuna mtanzania namjua ni msomali
  kajifanya mkimbizzi marekani na kahamishia familia yake yote
  yeye ana wake watatu
  watoto zaidi ya 20
  dada zake kaka zake
  yaani zaidi ya watu 45
  na wote wametokea daresalaam na wanapewa haki zote za ukimbizi
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mbona wanatuachia warundi???waondoke nao
   
 6. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jamaa wanaweza biashara, biashara nyingi kama real estate na supermarkets nairobi zinamilikiwa na wasomali. Bora waende huko wanapopata hifadhi, hapa tz kila siku wanakamatwa kwakuwa si raia wakivuka mpaka kwenda bondeni.
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  jamaa wana roho ngumu sana,wanafungua supermarket soweto sehemu hatari kabisa duniani na wanafanya biashara
   
 8. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Nakuunga mkono asilimia 100. Warundi wapo kambi ya Mtabira hawataki kurudi kwao eti hakuna amani. Vile vile, Wakongomani wapo Nyarugusu nao hawataki kurudi kwao! Kwanini nao wasiwachukue huko Canada na USA?
   
 9. L

  Leornado JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Isije ikawa wanawachukua kwenda kufanyishwa utumwa huko mashambani na viwandani kwa wamarekani?

  As far as I know, there is no free lunch in USA, so huu msaada sio bure tu kuna kitu.
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  what if wanataka kuwa na population ya kutosha kuwafanyia utafiti na baadaye kupata jibu sahihi kwa matatizo ya dunia yanayohusiana na wasomali?Kwani hadi sasa somalia ni tatizo kwa dunia na bado wana msimamo mkali kusu watu wengine kuingia kwao na kusaidia kurekibisha nchi.Ni rahisi wapata wakiwa marekani na kutimiza malengo k upitia hao.
   
 11. kmdh

  kmdh JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 505
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Siyo utafiti bali Wamarekani wanataka kujipendekeza. Maana wanaona wasomali wanawachukia.
   
 12. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,740
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hapana wasomali ni specie superb, they are very great in economy.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanataka wakawatumie kwenye biashara ya migahawa, ile njaa imewafundisha wasomali kuwa chakula ndo bidhaa muhimu kuliko hata dhahabu, ndo maana kila wakifika mahali biashara ya kwanza wao kufungua huwa ni mgahawa!!!
   
 14. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  wewe asikundanganye mtu Msomali hawezi kufanywa mtumwa na mtu yoyote Dunia hii, mna Marekani wakitaka kulazimisha nakuhakikishia Marekani hapatakalika!

  mimi nawajua sana nimekaa nao, nimefanya nao kazi, wana utamaduni mwingine kabisa, sisi tuli/nafanywa watumwa kwa maana tuko hivyo ni wadhoofu!

  Na nina kuhahakishia ngoja amani ije Somalia, miaka 10 baadaye wote tutakuwa tunakimbilia Somalia Mogadishu na kutaka kuwalazimisha waowane na sisi!


   
 15. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,039
  Likes Received: 8,532
  Trophy Points: 280
  Wanataka kuwatumia tu hasa katika majeshi ili kuwatwanga waarabu.hakuna kitu mmarekani anapenda kama use a muslim to kill a muslim.
  Hawa jamaa waliwahi hata kumtumia Husein far ideed kwenye US MARINE wakati alikua ni mtoto wa adui yao aliyewafanya wakimbie somalia Mohamed Far Ideed
   
 16. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Msije mkadai na wamakonde waondoke, mie nimeolea huko, chonde chonde
   
 17. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Jamani acheni uongo wa mwaka ni juzi tu leo ni siku ya 3 Obama ameruhusu wakimbizi waliokuwepo wasirudishwe makwao na wala haijajulikana km ni wasomali
  Wasomali ni wavivu, na wanapenda Biashara ya vipusa na magendo tu, ni wapi umekuta Msomali kaajiriwa kwa Mswahili au Mhindi?
  Hizi thread tulishazizungumzia lakini kila siku mnazirudisha kuwatetea.
  Wasomali wameingia huko Tanga, hawajachanganyika
  wameingia Kijiji cha Kware huko Hai wakawa Wabaguzi hawajachanganyika wala kufanya kazi zaidi ya kufanya Biashara ya aina moja tu na usiku kula milungi, kwa hito mkituwaambia ni wachapakazi si kweli semeni ni walanguzi.
  Ni kwa nini kwao hakukaliki? toka enzi ya Sied Barre
  Ugumu wa kutofanya kazi za kulitafutia Lishe ndio mnawasifia, Njaa huwa inaingia kwa watu wenye Mila ya uvivu
   
 18. d

  danizzo JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawai kumwona Msomali mkristo jamani! Nanasikia jamaa hao haiwezekani kuwabadili ndo mana kuna watoto kama 170 last year jamaa walitaka kuwapeleka USA ila kunamtu akawalipua wote uku taharifa zikisema ni heli awatangulize akhera kuliko kwenda kupandikiza mbegu za kikafili uko ughaibuni. By the way izo nchi zitajilaumu next time kwa hayo wayafanyayo kama kweli
   
 19. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,443
  Likes Received: 2,189
  Trophy Points: 280
  mbona habari zenu hazina references?
   
 20. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa hawaaminiki, kama wanaweza fundisha dolphins kutega/kutegua mabomu,eagles kufanya survailance.Ima telling hawa jamaa na reseeach zao ya genetics, wanaweza kuwa tayari wana virus vya kuuwa watu wa tabaka fulani.Na hiyo inawezekana.Ni siku utasikia kuna ugonjwa wa hatari unauwa wasomali huku wale wa ughaibuni wakiwa na Kinga kutokana na dawa wapewazo kwa siri mmahospital.Halafu hao wasomali wa ughaibuni walio brainwashed wakarudishwa kuja jenga nchi.

  I ma telling you watu wengi huwa wana loose haswa pale wanapoona kuwa wanashinda au wameshinda.
   
Loading...