Hawa watu ni hatari sana. Kila siku napiga na nitaendelea kupiga vita kwa hawa jamaa kuchanganywa kwenye jamii zetu Watanzania. Rudisha kwao wakalete fujo huko nyang'au wakubwa hao.Wakimbizi wa kambi ya Mtabila iliyoko wilayan Kasulu wako wanafanya vùrugu kubwa zoezi la kufunga kambi za Warundi limeanza miezi 3 iliyopita. Ilikuwa imebaki kijiji <zone A> ili kambi ifungwe rasmi kabla ya tarehe 31.12.2012. Wameita polisi toka Nyarugusu, Kasulu mjini na FFU Kigoma ili kutuliza vurugu.Baadhi ya wafanyakazi wamejeruhiwa.
Chanzo: mfanyakazi wa Irc ndiye kanipgia simu baada ya kukwepa kipigo
Hawa watu ni hatari sana.
Kila siku napiga na nitaendelea kupiga vita kwa hawa jamaa kuchanganywa
kwenye jamii zetu Watanzania. Rudisha kwao wakalete fujo huko nyang'au
wakubwa hao.
Sidhan kama ni rahisi kwa muhutu na mututsi kukaa pamoja Uadui wao sio kabisa-bila shaka hao waleta vurugu wanajua fika wakifika huko yatakayowapata-Ukiwa mbali na jamii hizo sio rahisi jua hisia zao-kama nyote mngepata kuwa wahutu Rwanda au Burundi msingekuwa tofauti na waleta vurugu hawa.
xenophobia at work.Hawa watu ni hatari sana. Kila siku napiga na nitaendelea kupiga vita kwa hawa jamaa kuchanganywa kwenye jamii zetu Watanzania. Rudisha kwao wakalete fujo huko nyang'au wakubwa hao.
Just go back to your effin country..we (Tanzanians) don't need that BS here. Mkapigane marungu huko kwenu.xenophobia at work.
Unamuudhi baba wa Taifa kule aliko,amewahi kusema na nina nukuu,binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja,why hate your felllow African to that extent.Milipopolewa mawe Africa ya Kusini na waafrica wenzenu mlilalamika sana,sasa what are you portraying,ni kweli muda wa Warundi kurudi kwao umefika kwani kuna amani na hakuna justification ya wao kuendelea kuwa wakimbizi.kwani uwezi kuwa mkimbizi maisha yako yote lazima iko siku ukimbizi utaisha.Kuwa mkimbizi si kosa ,ni hali ambayo mtu hujikuta akiwa nayo kutokana na vita ambayo usababishwa na wanasiasa.Wengi wanaokimbia ni victim amabo hata ukiwauliza chanzo cha vita nchini kwao hawajui,wanaosababisha ni watu wenye uchu wa madaraka.Ukimbizi sio kosa hata biblia ianasema Yesu aliwahi kuwa mkimbizi,hata holy quran nayo inasema Mtume Muhamad[SAW] aliwahi kuwa mkimbizi maishani mwake,hata wewe hujui kesho itakuwaje kwako.Historia inasema chuki dhidi ya wakimbizi[xenophobia]haijaanzia kwako,hata mauaji ya Adolph Hitler kwa wayahudi yalisababishwa na mawazo kama yako,please soma kitabu cha hitler alichoandika akiwa gerezani kabla hajawa mtawala wa ujerumani[MEIN CAMPF]kwa kiswahili title ya kitabu inamaanisha mawazo yangu.Hitler alikuwa na maono kuwa matatizo yote ya Ujerumani,uchumi mbaya,uhalifu na mabaya yote yanasababishwa na wakimbizi ambao ni Mayahudi,same as Idd Amini na wahindi etc Historia ina mifano mingi ya watu wenye chuki dhidi ya wageni,hivyo sio wewe tu na wala usijilaumu kwa kuwa na mawazo kama hayo kwani wewe sio wa kwanza kuwa na chuki hizo.But ukweli ni kwamba hao ni jamii kama jamii nyingine yenye watu wabaya na wazuri.Kwani wanaofanya ujambazi Dar/Mwanza au Arusha kila siku ni warundi?walivamia quality plaza leo hii ni warundi,walomvua nguo marehemu Sharobaro ni Warundi?.Nadhani jibu unaloJust go back to your effin country..we (Tanzanians) don't need that BS here. Mkapigane marungu huko kwenu.
Kwa hili Jambo la hawa jamaa acha nimuudhi mpaka Mama wa Taifa.Unamuudhi baba wa Taifa kule aliko,amewahi kusema na nina nukuu,binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja,why hate your felllow African to that extent.Milipopolewa mawe Africa ya Kusini na waafrica wenzenu mlilalamika sana,sasa what are you portraying,ni kweli muda wa Warundi kurudi kwao umefika kwani kuna amani na hakuna justification ya wao kuendelea kuwa wakimbizi.kwani uwezi kuwa mkimbizi maisha yako yote lazima iko siku ukimbizi utaisha.Kuwa mkimbizi si kosa ,ni hali ambayo mtu hujikuta akiwa nayo kutokana na vita ambayo usababishwa na wanasiasa.Wengi wanaokimbia ni victim amabo hata ukiwauliza chanzo cha vita nchini kwao hawajui,wanaosababisha ni watu wenye uchu wa madaraka.Ukimbizi sio kosa hata biblia ianasema Yesu aliwahi kuwa mkimbizi,hata holy quran nayo inasema Mtume Muhamad[SAW] aliwahi kuwa mkimbizi maishani mwake,hata wewe hujui kesho itakuwaje kwako.Historia inasema chuki dhidi ya wakimbizi[xenophobia]haijaanzia kwako,hata mauaji ya Adolph Hitler kwa wayahudi yalisababishwa na mawazo kama yako,please soma kitabu cha hitler alichoandika akiwa gerezani kabla hajawa mtawala wa ujerumani[MEIN CAMPF]kwa kiswahili title ya kitabu inamaanisha mawazo yangu.Hitler alikuwa na maono kuwa matatizo yote ya Ujerumani,uchumi mbaya,uhalifu na mabaya yote yanasababishwa na wakimbizi ambao ni Mayahudi,same as Idd Amini na wahindi etc Historia ina mifano mingi ya watu wenye chuki dhidi ya wageni,hivyo sio wewe tu na wala usijilaumu kwa kuwa na mawazo kama hayo kwani wewe sio wa kwanza kuwa na chuki hizo.But ukweli ni kwamba hao ni jamii kama jamii nyingine yenye watu wabaya na wazuri.Kwani wanaofanya ujambazi Dar/Mwanza au Arusha kila siku ni warundi?walivamia quality plaza leo hii ni warundi,walomvua nguo marehemu Sharobaro ni Warundi?.Nadhani jibu unalo
Warundi ni wakimya zaid ya wanyarwanda hasa kwenye matendo machafu ie utekaji magari,wizi,kubaka etc. Tatizo la hawa wanaogoma kurudi either awaijui burund kabisa<mf amezaliwa apa tz na wazaz wake wote wameshakufa>,pili kuna wale wakati wanatoka burund walitoka kwa kufanya uharifu-hawa piga ua awataki kurud. Tatu,kuna wale walivyokuja tz wamewafanyia mambo mabaya warund wenzao.aliyefanyiwa ubaya ameshatangulia nchin<x combatant ambao ndio wako madarakan sasa>,huyu katu hawez kurud.