Wakimbizi wa kambi ya Mtabila iliyoko wilayan Kasulu wako wanafanya vùrugu kubwa zoezi la kufunga kambi za Warundi limeanza miezi 3 iliyopita. Ilikuwa imebaki kijiji <zone A> ili kambi ifungwe rasmi kabla ya tarehe 31.12.2012. Wameita polisi toka Nyarugusu, Kasulu mjini na FFU Kigoma ili kutuliza vurugu.Baadhi ya wafanyakazi wamejeruhiwa.
Chanzo: mfanyakazi wa Irc ndiye kanipgia simu baada ya kukwepa kipigo
Chanzo: mfanyakazi wa Irc ndiye kanipgia simu baada ya kukwepa kipigo