Wakili William Maduhu Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa akizungumza katika Mdahalo wa Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025 kipindi cha Star TV ameelezea Taswira halisi kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 kwamba bado kuna vilio vingi sana na malalamiko ya wadau wengine kutotendewa haki na waliopo Madrakani, ikizingatia sifa kuu za uchaguzi ambazo ni Uhalali wa kisheria na kikatiba (Legal legitimacy) na uhalali wa kisiasa
Pia ameshauri Serikali kutopuuza au kudharau Sauti na maoni ya Wananchi kwani Wananchi ndiyo Serikali
Pia ameshauri Serikali kutopuuza au kudharau Sauti na maoni ya Wananchi kwani Wananchi ndiyo Serikali