Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,833
Anajisahau mno mahakamani na kudhani kwamba anajieleza mbele ya wale wasio jua sheria aliozoea kuwabeba ufala kifikra, kwamba eti anajua shreia bara-bara, kumbea hana lolote. Ndio maana, badala ya kujitetea kwa mujibu wa sheria kulingana na anachotuhumiwa nacho, Tundu Lisu anapoteza muda mwingi kulalamika na kulaumu mawakili wa Jamuhuri na saa zingine kumlaumu hakimu, huku akionyesha dhahiri kukata tamaa, kuchoka na kutegemea zaidi huruma ya mahakama na huruma wananchi wanaofuatilia kesi hizo zinazomkabili. Ni wazi hana umahiri wowote kwenye tasnia ya sheria, hususan mahakamani.
Tundu Lisu ameuhadaa umma wa kitaifa na kimataifa kwa muda mrefu kwamba yeye ni mahiri wa sheria, lakini kupitia kesi zinazomkabili mahakamani kwa sasa, ameonyesha wazi kua sio mwanasheria mzuri, na ni mnyonge mno mahakamani licha ya majigambo yake na kujipiga kifua kwamba atajitetea mwenyewe mahakamani, kitua ambacho kinaashiria wazi anakwenda kuangukia pua.
Tundu Lisu amechoka na ameelelemewa kisheria katika kila upande wa utetezi wake dhaifu wa maneno mengi na kupoteza muda mwingi wa mahakama na muda wake mwenyewe kueleza nonsense.
Kimsingi mropokaji huyo kwenye majukwaa ya kisiasa, anahitaji usaidizi wa kisheria ili walau kumpunguzia mzigo wa kujieleza na msongo wa mawazo unaomtesa akiwa korokoroni na unao mfedhehesha akiwa mahakamani.
Licha ya kiburi, ubinafsi na ubishi wake, kama mtaalamu muandamizi katika siasa, kwa mambo yaendavyo mahakamani, nashauri Lisu asaidiwe hata kwa lazima, ingawa it's too late kumnusuru kwa chochote kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambae anastahili kupata haki yake mahakamani kulingana na tuhuma zinazomkabili kwa uwazi kama ambavyo kesi inaendelea.
Mungu Ibariki Tanzania