Hakuna nchi yoyote duniani including Marekani na China ambazo haziogopi sera mbaya za nje dhidi ya nchi yao sembuse nchi maskini kama Tanzania ambayo fedha karibu 50% zinatoka nje. Tumeona nchi nyingi tu tena zenye nguvu kama Russia, China, Iraq, etc zikiathirika vibaya na sunctions kutoka nje.
Kuiangusha Tz ni rahisi mno hata baadhi ya watu binafsi wakiamua tu kufunga viwanda au biashara zao tayari nchi inayumba sembuse nchi matajiri. Lakini kwanini Robert unamsapoti magu na yote haya ya hovyo anayofanya? Natumaini wewe ni msomi flani lakini sioni unakwama wapi kuhusu uongozi mbovu wa kidikteta tulio nao, kwanini unasapoti udikteta na ukandamizi uliopo? Unafaidika nao? Basi jua kuna wengi sana wanaumia.
Ndio ni nchi huru lakini haijamaanisha wengine wanyanyase wengine kwa maslahi yao binafsi, kwanini wengine wanakuwa juu ya sheria na wengine ndio sheria huchukua mkondo wake (alikuwa mbunge wa ccm NA SILAHA ZISIZO NA VIBALI alifanywaje...) hawatoboki wanachama wa chama tawala wanatoboka wasio kuwa upande wao na wanyonge. Hapa lazima mkubali matokeo ya utetezi kwa wanyonge wanaomba msaada nje maana kwao hakuna sheria inayo walindaTanzania ni nchi huru, ina watu wake na mali zake, ina utamaduni wake na sheria zake. Mtu yeyote bila kujali nafasi yake atakayedhani anaweza kuharibu nchi hii atatoboka mapema kabla hajafanikiwa.
Nakuhakikishia jamaa na wapambe wake watasoma au wameshasoma huu ujumbe.Atasoma sasa huu ujumbe wako, vitu vingine ni kelele tu anazojaribu kuziadress
Hawezi kukujibuSawa lkn mizengwe ya nini? Mbona mnamwogopa kama kifaru? Why kamatakamata, bambikia kesi, nyima fomu, teua wapinzani feki, jela, hamasisha vijana kutupa mawe, makongamano ya kampeni za udini...... WHY????
Just tell me why?
Tanzania had been there before. Sijaona baadhi ya Watanzania ni wajinga wa kupitiliza. Serikali hii iogope kimburu moja tu kisa ana ofisi London na NY? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee maajabu ya dunia. Waje watatukuta!Endelea kuota.. Kama ambavyo mnasemaga kuwa serikali ina mkono mrefu, hivyohivyo na dunia ina wenyewe..where is Gadaf? Where is Mubarak, Ben al and the like? Heshimu haki ya wenziyo.
Assassinated by CIAEndelea kuota.. Kama ambavyo mnasemaga kuwa serikali ina mkono mrefu, hivyohivyo na dunia ina wenyewe..where is Gadaf? Where is Mubarak, Ben al and the like? Heshimu haki ya wenziyo.
Tanzania ni nchi dhaifu sana linapokuja suala la kupambana na giant countries labda kama huijui dunia vizuri.Tanzania had been there before. Sijaona baadhi ya Watanzania ni wajinga wa kupitiliza. Serikali hii iogope kimburu moja tu kisa ana ofisi London na NY? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee maajabu ya dunia. Waje watatukuta!
Too. CIA will assassinate you.Assassinated by CIA