Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Si mlisema akija ataishia mikononi mwa polisi?? Pambaneni sasaNimemsikia akiipangia mahakama Cha kufanya. Hii ni style mpya na sijui itamfikisha wapi?
Anasema "kisutu nitakuja lakini no baada ya kujiridhisha kwamba Jambo hili la KIKATIBA ambalo linakuja kila baada ya miaka mitano ninajidhirisha kwamba Jambo hili limekamilika kikamilifu"
"Nawaomba Watanzania walio Dar es Salaam na mikoa jirani wajitokeze kwa wingi Kisutu siku ya jumatano"
Nimetafakari sana na kujiridhisha kwamba Tundu Lissu hayuko peke yake nyuma ya kauli na matendo take wapo watu wengi nyuma yake wasioitakia mema Tanzania na yeye ni kama chambo.
Aidha kwako Mwenyekiti Mbowe huyu Bwana kaja kukupaka kinyesi na kukipaka chama kinyesi hana Shida ya kuwa Rais wa Tanzania kwakua anajua Hilo haliwezekani, bali kaja kutumia CHADEMA Kama Daraja la kupata kile walichokipanga na walio nyuma yake.
Tahadhari Chama chako kisije kubeba dhima ya historia mbaya ya Udalali wa nchi yako kwa wazungu.
Mwisho, nijikumbushe pamoja na kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba Tanzania ni kubwa kuliko mtu.
Wasalam
Afadhali ushikiwe mke au mtoto Ila sio kushikiwa akili. Hizo unapaswa kushikamana nazo mwenyewe...Si mlisema akija ataishia mikononi mwa polisi?? Pambaneni sasa
Dhambi kubwa mliyoifanya ni kutaka kumwua Lissu na Hamna pa kujificha maana tamko la kutaka Lissu auawe Mwenyekiti wenu alilitoa hadharani kwenye Live TV..
Sasa ndo mtajua kwanini Waswahili walisema Damu ya Mtu ni nzito kuliko Maji, pumbavu
Amerudi mchana kweupeee na kampeni anafanya huku ninyi mkiufyata mkia ..nasema hv, pambaneni naye sasa tuone nani mshindiAfadhali ushikiwe mke au mtoto Ila sio kushikiwa akili. Hizo unapaswa kushikamana nazo mwenyewe...
Mabeberu ni kana nani ni hawa wanaokuja kuwekeza?Wewe ni mmoja wa wainamia beberu?
Bila CCM kuwa KANU,tunajidanganya.Kuna nini ndani ya ile nyumba mbona CCM mnatumia nguvu kubwa kubakia umo?
Mambo ya faragha ya mtu ni siri hata wewe ukiwa na mkeo/mmeo hatujui mnayoyafanya usikute mnayofanya ni bora hata ushoga.Huyo Jamaa yupo na Twitter activists wana RT post yake wakitegemea Voters wako Twitter kwa taarifa tu hao washabiki wa Twitter majority sio wapiga kura, Sisi tupo kijiji kwa kijiji na leo tumeitisha harambee kanisani ya kuchangia ujenzi wa msikiti chamwino, Hii nikuonesha sisi watanzania hatuwezi kuwa seperated na mtu mmoja ambae hata familia yake haipo hapa nchini, Yeye atafute tu hata kundi la lawyers wa abroad akishindwa kuwalipa basi afunge nao ndoa mana si ndio miongoni mwa sera zake
Msikupige risasi msitupige mabomu we are all humansNimemsikia akiipangia mahakama Cha kufanya. Hii ni style mpya na sijui itamfikisha wapi?
Anasema "kisutu nitakuja lakini no baada ya kujiridhisha kwamba Jambo hili la KIKATIBA ambalo linakuja kila baada ya miaka mitano ninajidhirisha kwamba Jambo hili limekamilika kikamilifu"
"Nawaomba Watanzania walio Dar es Salaam na mikoa jirani wajitokeze kwa wingi Kisutu siku ya jumatano"
Nimetafakari sana na kujiridhisha kwamba Tundu Lissu hayuko peke yake nyuma ya kauli na matendo take wapo watu wengi nyuma yake wasioitakia mema Tanzania na yeye ni kama chambo.
Aidha kwako Mwenyekiti Mbowe huyu Bwana kaja kukupaka kinyesi na kukipaka chama kinyesi hana Shida ya kuwa Rais wa Tanzania kwakua anajua Hilo haliwezekani, bali kaja kutumia CHADEMA Kama Daraja la kupata kile walichokipanga na walio nyuma yake.
Tahadhari Chama chako kisije kubeba dhima ya historia mbaya ya Udalali wa nchi yako kwa wazungu.
Mwisho, nijikumbushe pamoja na kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba Tanzania ni kubwa kuliko mtu.
Wasalam
WanaJF wanaojadili mada yako, hasa mashabiki na wafuasi wa Lissu wanabeza hoja zako na kudai unaweweseka. Kama kuna kuweweseka ni wao kwa sababu hoja zako dhidi ya Lissu ni za msingi kuhusu usalama na maendeleo ya Tanzania.Jaribio la kuuawa na Lisu nilililaana dakika chache baada ya kusikia Lisu kapigwa risasi. Nenda kwenye ukurasa wangu wa facebook utaelewa.
Ninachopenda ni haki.
Lakini haki inayoingilia maslahi ya taifa hiyo itadhibitiwa, japo sishauri njia ya kifo, lakini kama itashindikana kabisa, hakuna namna
Mabeberu ni kana nani ni hawa wanaokuja kuwekeza?
ni hawa tunaonunua ndege kutoka kwao?
Ni hawa wanaotupatia silaha?
Ni hawa wanaotupa mikopo?
Naomba jibu.
Mbona mnaogopa sana, kuna maswala katika nchi hii huitaji hata elimu ya chekechea kuyangamua na kuyaelewa .Nimemsikia akiipangia mahakama Cha kufanya. Hii ni style mpya na sijui itamfikisha wapi?
Anasema "kisutu nitakuja lakini no baada ya kujiridhisha kwamba Jambo hili la KIKATIBA ambalo linakuja kila baada ya miaka mitano ninajidhirisha kwamba Jambo hili limekamilika kikamilifu"
"Nawaomba Watanzania walio Dar es Salaam na mikoa jirani wajitokeze kwa wingi Kisutu siku ya jumatano"
Nimetafakari sana na kujiridhisha kwamba Tundu Lissu hayuko peke yake nyuma ya kauli na matendo take wapo watu wengi nyuma yake wasioitakia mema Tanzania na yeye ni kama chambo.
Aidha kwako Mwenyekiti Mbowe huyu Bwana kaja kukupaka kinyesi na kukipaka chama kinyesi hana Shida ya kuwa Rais wa Tanzania kwakua anajua Hilo haliwezekani, bali kaja kutumia CHADEMA Kama Daraja la kupata kile walichokipanga na walio nyuma yake.
Tahadhari Chama chako kisije kubeba dhima ya historia mbaya ya Udalali wa nchi yako kwa wazungu.
Mwisho, nijikumbushe pamoja na kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba Tanzania ni kubwa kuliko mtu.
Wasalam
Huyu ni wa kuhurumiwa ana maradhi yaitwayo "verbal diarrhea"Acha kuweweseka. Tunataka uchaguzi huru, haki na credible.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu ni wa kuhurumiwa ana maradhi yaitwayo "verbal diarrhea"