usijipe moyo, unaweza ukakimbia na kifua kikakubania huko huko ukaja kwenye machela kaka, haka ka ugonjwa hakana formulla - kakishakupenda wewe ni basi tena.Watanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
Umetuletea TANZIA, content ni jambo lingine kabisaR.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!
Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.
View attachment 1700061
Nilisikia yule Dr kavavila Arusha naye hatunaye. Alikuwa doctor mzuri sana wa watoto pale Aicc hospital.R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!
Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.
View attachment 1700061
wewe unawengeMwaka huu labda ufe kwa ajali ndio itasemwa hujafa na corona
Siyo kila anayefariki hafanyi mazoezi au anakaa kwenye kiyoyozi. Mwezi uliopoita jirani kwetu alifariki kijana mwenye miaka 30 na alikuwa active. Tatizo ni kuwa alikuwa na kisukari. Huu ugonjwa una complications nyingi sana. (naomba nieleweke kuwa sipingi kama mazoezi husaidia sana kupambana na huu ugonjwa). Kuna watu wanakuwa wako active lakini wanapopatwa huu ugonjwa damu inakuwa ''sticky'' na kusababisha ''clot'' kwenye ubongo na hivyo kifo. Kuna wengine kinga za mwili zinaushambulia tena mwili wa mgojwa (kinga zinaingia kwenye overdrive) na kusababisha inflamation kwenye mapafu na hivyo kifo. Kwa kifupi huu ugonjwa mtu akishakuwa over 40 years kunakuwa na hatari ya aina fulani. Ila kama nilivyosema naunga mkono kuwa kwa wenye mazoezi na wanaofanya kazi za nguvu ugonjwa umeonekana kutowa-affect sana.Watanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
Magufuli ndiye sababu ya mambo yote kwenda mrama! Ila Tanzania kusema kweli tuna wasomi na raia wajinga na waoga sijawahi kuona. Kama yule prof. wa chuo Kikuu Huria alivyotoa tahadhari nimeshangaa mno mno kada ya wasomi inamwambia aombe radhi. Hii nchi kuna limwata tumelishwa si bure! Inakuwaje mtu mmoja tena anaoneka kama mentaly unstable apelekeshe nchi nzima?Hivi kuna ugumu gani kwa Magufuli kudeclear kwamba gonjwa lipo na hivyo kuwapa uhuru wataalamu wa afya kufanya kazi zao bila woga kwamba wanapingana na mwenye Nchi?
Hakuna fedheha wala aibu kusema kwamba Corona “imerudi” baada ya kuwa “tumeiondoa” kwa maombi yetu July 2020
Kinyume chake ni ujuha tu na upunguwani
Du. Naomba hint kidogo kuhusu huyu mstaafu. Ila Bongo noma. Watu wanakufa wengi sana lakini hakuna wa kuthubutu kusema lolote.Muhimbili kuna Kiongozi mstaafu yuko mahtuti.
Hoja yao ni kwamba eti ametumia headed paper yenye nembo ya Chuo/Serikali na hakuonyesha takwimu kuback up tamko lake. Kwamba angelitoa lile tamko kama individual na sio kutumia mgongo wa chuonimeshangaa mno mno kada ya wasomi inamwambia aombe radhi. Hii nchi kuna limwata tumelishwa si bure!
Ni kweli. Hapo ni uchumia tumbo tu.Hoja yao ni kwamba eti ametumia headed paper yenye nembo ya Chuo/Serikali na hakuonyesha takwimu kuback up tamko lake. Kwamba angelitoa lile tamko kama individual na sio kutumia mgongo wa chuo
Lakini hii haiondoi ukweli kwamba jumuiya ya wasomi hawa ni wachumia tumbo na wasaka tonge tu.
Mwalimu Nyerere mwaka 1952 Dec aliwahi kusema "Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo"Hivi kuna ugumu gani kwa Magufuli kudeclear kwamba gonjwa lipo na hivyo kuwapa uhuru wataalamu wa afya kufanya kazi zao bila woga kwamba wanapingana na mwenye Nchi?
Hakuna fedheha wala aibu kusema kwamba Corona “imerudi” baada ya kuwa “tumeiondoa” kwa maombi yetu July 2020
Kinyume chake ni ujuha tu na upunguwanI
Kule hospital ya wilaya ya Hai, kilimanjaro kuna kiongozi wa CCM Yuko kwenye Hali mbaya sanaMuhimbili kuna Kiongozi mstaafu yuko mahtuti.