DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania , wanakosoa namna serikali imeanza kuitumia vibaya sheria ya makosa ya uhaini, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, waandamanaji waliokamatwa kusomewa shtaka la uhaini.
Wakili Fulgence Massawe ni mkurugenzi wa utetezi na mageuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania.
Haya yanajiri wakati huu viongozi zaidi wa chama kikuu cha upinzani Chadema Pamoja na wanaharakati wakiendelea kukamatwa.
Pia Soma: Wengine 10 Sumbawanga wapindishwa kizimbani kwa makosa ya uhaini, Idadi yafikia watu 330 nchi nzima