Wakili Dickson Matata akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea Suala la Uteuzi wa watendaji wa Tume huru ya Uchaguzi ambapo Katiba inasema Rais ndiye mwenye Mamlaka ya kuteuwa Mwenyekiti, Makamumwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi na wakati huohuo Rais Mwenyewe ni Mgombea urais na baadhi ya watu aliowateuwa ni kutoka kwenye Chama chake cha (CCM)